Simba apanda Juu ya mti kuokoa Uhai wake, baada ya kichapo kikali kutoka kwa NYATI

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
207452_0.jpg

036.jpg
 
Kinachofanya nyati awe tishio na umoja wao.

United they stand. Kuungana ni kitu muhimu sana ili kushinda.
Umoja ni muhimu sana.
Mfano Nyumbu mamillioni wanaovuka mto mara wenye mamba.
wangekuwa na akili ya umoja wangeweza kuanza kukanyaga na kuua mamba zote kisha wakaanza kupita taratibu bila ugomvi...
badala yake malaki ya nyumbu hufa kwa hofu na kukanyagana..
 
Nina imani wewe kama a great thinker, kuna kitu ulitaka kuongea Kwa kutumia lugha ya picha. Otherwise video za simba kushambuliwa na nyati tumeziangalia sana tu.

Wadudu wadogo kabisa(ants) wanaweza kubeba mzigo mzito mara hamsini ya uzito wao.
Wanaweza kuhamisha hadi tani 50 za udongo kwa square mile ndani ya mwaka mmoja.
Maana yake nini kumbe hata wadudu wadogo(ants) wakijioganize wanaweza haribu msingi wa nyumba nzuri na kuisababishia kubomoka kwa kuhamisha udongo wa chini ya msingi kidogo kidogo siku ukiwaudhi.

Umoja ni nguvu, Utengano ni Udhaifu...
Wahenga walikuwa magreat thinker kuliko kawaida...
Kwa kuangalia wanyama kuna masomo mengi ya maisha
 
Kweli kabisa mkuu umoja ni nguvu.
 
Back
Top Bottom