Recent content by Afyayaakili

  1. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Maisha ni vita. Usiwe na huruma na yeyote yule anayetaka kukata mirija ya kipato chako

    Usikae kinyonge kwenye chakula chako.
  2. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Ngozi nyeusi kwenye ubora wao.
  3. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    My Best ni 1917 (ya 2019) na The Pianist(ya 2002)
  4. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania KERO Headmaster shule ya Sekondari Maji ya Chai-Arumeru hafiki kazini. Walimu wengine nao hawafundishi

    Wazazi wasikuizi wamekosa mbinu kabisa za malezi ya kielimu Kwa watoto zao au sijui wanafunzi ndio wamekosa ubunifu. Hao walimu usawa wa kipato unabana lazima wajipambanie wapate mahitaji ya kulea familia zao kama wewe unavopenda kuilea ya kwako mtaishia kulalama tuu. Miaka yetu ulikuwa unakuja...
  5. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Msanii gani hata show iwe bure huendi

    Dogo Rema 😂😂
  6. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Kufanya Biashara na taasisi Changamoto sana, unafilisika kimasihara

    Kuwa Makini sana tuu kama pesa ipo waambie wakamilishe kabisa malipo kabisa ndio utoe mzigo au ufanye kazi. Vinginevyo kula kwako ni kugusa tuu, experience yangu Kwa mashule wanaongoza Kwa madeni sana kutokuwalipa watu na wakuu wanahamishwa kiholela sana, Leo umefanya kazi na huyu kesho anakuja...
  7. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa ya Mbeya inakera sana

    Utaweza kuishi Scandinavia kweli kama Mbeya pamekushinda
  8. Afyayaakili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na miungu watu

    Nyie wenu Mungu Zumaridi, Nabii Mwamposa na wengineo
  9. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

    Mkono huo huo unaotumia kuisukumizia ndani sio ndio unashikia Bible Mkuu
  10. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kugundua kuwa katika free time Mzungu anaisaka ADVENTURE huku Mwafrika anaisaka PLEASURE🤣

    Maisha yetu ADVENTURE tosha wacha tuisake PLEASURE tuu.
  11. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Makundi yanayoongoza kwa ubaguzi na chuki dhidi ya watu weusi

    Ubaguzi upo kila sehemu hasa kwa sisi ngozi nyeusi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe kwa Makabila au Koo flani na Koo Flani. Ukiwa mtu mweusi jitahidi kujua hali hii ipo itakusaidia kujiandaa kisaikolojia na kuendelea na mambo yako.
  12. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Huna washikaji Karagwe na Bukoba wakupe uzoefu washayazoea hayo
  13. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ajali Miezi Miwili Zasababisha vifo 30

    Huko SI ndio Yuko rais wa mabunge duniani au ni CHADEMA najichanganya
  14. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Kukandwa kwa maksi chache writen utumishi inakera kwa kweli. Wangekuwa wanaangalia na ukubwa wa maksi

    Tushawahi kukatwa tukiwa na 83 Wakachukua kuanzia 86, ila mwisho wa siku next Battle buyu tukalipata. Wakati wa Mungu ukifika Kila kitu kinanyooka tuu jombaa.
Back
Top Bottom