Kwa mujibu wa dira ya dunia-bbc, watalii wengi (wanawake) wamekuwa wakifika hapa nchini kwa ajili ya kuwanasa vijana wa kiume ili wafanye nao ngono.
Tofauti na ilivyozoeleka kwa watalii hao kufika hapa nchini ili kutembelea vivutio kama mlima Kilimanjaro na mbuga za wanyama sasa idadi kubwa ya...
Lakini si kila anayejiita Muislamu ni Muislamu....................kwa hayo ya Diamond dah! cjui yeye anafuata misingi ipi katika Uislamu!!! Hata hivyo wapo wengi tu msimu huu wanavaa sn kanzu na wengine wakiisogelea misikiti lakini kwa matendo yao wanausaliti Uislamu.
Kwa wale waloshuhudia wakati wa tukio hili watakubaliana nami kuwa jamaa alikuwa ameandaliwa maana hata yule alokuwa anaendesha zoezi hilo alimtaja kwa jina lake yaani PETER ilihali wengi wa waandishi hao walikuwa wamenyoosha mikono ili wapate fursa ya kuuliza maswali.
Mke wa Rais wa Marekani Bi. Michelle Obama, amepata usumbufu wa kurekebisha kigauni chake kifupi na chepesi kutokana na hali ya upepo iliyotawala katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam. Haya yametokea katika uwanja wa ndege wa Mwl. Julius K. Nyerere wakati wa mapokezi ya Rais Obama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.