NGONO: Kivutio kingine cha utalii nchini Tanzania

NGONO: Kivutio kingine cha utalii nchini Tanzania

AFRIKA KWETU

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
29
Reaction score
8
Kwa mujibu wa dira ya dunia-bbc, watalii wengi (wanawake) wamekuwa wakifika hapa nchini kwa ajili ya kuwanasa vijana wa kiume ili wafanye nao ngono.

Tofauti na ilivyozoeleka kwa watalii hao kufika hapa nchini ili kutembelea vivutio kama mlima Kilimanjaro na mbuga za wanyama sasa idadi kubwa ya wanawake kutoka ulaya hufika kwa ajili ya utalii wa ngono.
 
pale Arusha wanapatikana VIA VIA na Zanzibar karibuni beach zote wanapatikana.Zanzibar vijana wanaochangamkia hao majimama wanaitwa beach boyz
 
Utalii wa ngono bongo bado sana. Kenya ndiyo umeshamiri. Tena Kenya mpaka watoto wadogo wanauzwa/wanajiuza katika ngono.
 
Hiyo chenga, Ebo vijana wetu waache kusoma waache kujituma waache kufanya kazi wasubiri kusaka watalii !! watalii wenyewe 2 au 3 ukilinganisha na makundi ya wazururaji pasipo na mwelekeo wala dira ya kujikomboa kimaisha/kiuchumi !! Masikini wee tumeachwa kwenye mataa.
 
Hii ni kweli! kabisa rafik yangu mmoja ambaye ni flycatcher chuga sasa hv wanamtumia e mail kabisa na wanaambiana wateja wake wakubwa ni visichana toka uingereza na masukari mama toka Ujerumani
 
Back
Top Bottom