Mbona udahili wa HLI's unatoka kwa awamu hatuhoji?.
Kwa logic ndogo ni kwamba kuna HLIs wameshatoa confirmed list ya wanafunzi na vyuo vinaanza kupokea next week, hivyo hakuna sababu ya kuwasubiri wa round 4 udahili ilihali majina kutoka vyuo tayari. mawazo yangu tu!!
Nukuu: Zoezi la Uhakiki wa Taarifa za Waombaji wa mikopo
Baada kukamilika kwa muda wa kupokea maombi ya mikopo Julai 31, 2018, HESLB ilikuwa imepokea jumla ya maombi 78,833 ambapo baada ya uhakiki, ilibaini jumla ya waombaji zaidi ya 25,000 fomu zao za maombi zikiwa na upungufu wa nyaraka na...
Je kabla ya hukumu kutolewa na ikathibitika kuna vielelezo au ushahidi zaidi ukasadikika kuwepo mahali fulani hakimu anaweza kutoa amri vikaletwa hivyo vielelezo. Na je mlalamikaji ana haki ya kudai vielelezo au ushahidi uletwe mahakamani?
Wewe F6 unamuendesha bosi wako ana F4 na experience. Amekaa pembeni anaongelea dili za kupiga hela na miamala inaingia kwenye simu na wewe unasikia. Utaacha kuchanganyikiwa uende porini. Tuwaache wenye Std 7 waendelee na kazi zao bhana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.