Naendelea kufanyia wanafunzi application za vyuo

wajinga hawaishi, ndio maana umewapiga hela zao! kwa hiyo usingekuwepo wewe hawa watoto wasingeapply?
sasa kumbe shida yako hutaki mi niwafanyie application kisa ntapata hela halafu wao wana ndugu zao watawafanyia bure!!!

ntolee kichaa chako hapa.
 
Mkuu mi nadhani ndiye mtu wa kwanza kutoka JF niliyekupa mteja na sikupata malalmiko yeyote yale, naona kijana amekushikilia kwenye huu uzi

huyu mpuuzi sijui hajala mchana, yaani watu wote niliowafanyia application wasilalamike aje alalamike yeye ambaye hata simjui na wala sijawahi kumfanyia application, naona anatafuta mtu wa kumfia
 
kweli biashara matangazo
 
Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.

habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili ya kufanya application ya kwenda vyuoni kwa mara ya tatu na mimi binafsi hiyo kazi nimeshaifanya kwa awamu zote mbili kwa mafanikio makubwa(wanafunzi 35 washapata vyuo awamu zote mbili )

kama utapenda nikufanyie application tafadhali piga nambari 0789805698, maana awamu hii ndiyo ya mwisho ukileta mchezo tena hapa kujifanya unajua kuapply ujue utaangukia pabaya, wahi sasa.
mkuu vipi UDOM NA MZUMBE wameshatoa majina??
 
samahani mkuu kama hutajali
kati ya wote uliowasaidia ku-apply vyuo ni wangapi wamepata na wangapi wamekosa !?
 
85% wamepata round ya kwanza na ya pili, waliokosa ni kutokana na ubishi wao wa kung'ang'ania kozi zilizojaa na vyuo vyenye cutthroat competition kama UDSM wakati ufaulu wao ni wa kawaida( 2 au 3 za mwisho)
 
kuna dogo alidisco chuo hiv utaratibu wa kuomba ukoje maana kakosa raund zote mbil
 
Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.

habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili ya kufanya application ya kwenda vyuoni kwa mara ya tatu na mimi binafsi hiyo kazi nimeshaifanya kwa awamu zote mbili kwa mafanikio makubwa(wanafunzi 35 washapata vyuo awamu zote mbili )

kama utapenda nikufanyie application tafadhali piga nambari 0789805698, maana awamu hii ndiyo ya mwisho ukileta mchezo tena hapa kujifanya unajua kuapply ujue utaangukia pabaya, wahi sasa.
Wacha njaa za kijinga hicho kitu cha dk kadhaa tu,sisi miaka yote tunawasaidia madogo....wewe unaleta unyonyaji.saidia wana waende chuo.
 
samahan naomba kuulza swali japo ni tofaut na mada husika kuna ndugu yangu alchaguliwa vyuo viwil sua na udom alconfrm sua na wakamtumia admission letter na joining sasa at the same time kuna rfk ake alchaguliwa sua akatumiwa vyote na registration number sasa huyu ndugu yangu hawakutuma registration number sasa sielew kuna tatizo ?
 
we mpuuzi , kwahiyo wewe ni nani mpaka mimi nifuate maagizo yako?
Mkuu mbona unatoka povu hata ushauri wa kawaida tu "saidia wadogo wakaelimike hawatakusahau" mi nimewasaidia 5 bure na wote wamepata ila kimyakimya tu
 
Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.

habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili ya kufanya application ya kwenda vyuoni kwa mara ya tatu na mimi binafsi hiyo kazi nimeshaifanya kwa awamu zote mbili kwa mafanikio makubwa(wanafunzi 35 washapata vyuo awamu zote mbili )

kama utapenda nikufanyie application tafadhali piga nambari 0789805698, maana awamu hii ndiyo ya mwisho ukileta mchezo tena hapa kujifanya unajua kuapply ujue utaangukia pabaya, wahi sasa.
Hivi "utapeli" utaisha lini??? Yaaani mtu kasoma hadi form six bado akosee mara mbili kujaza chuo na bado atafute 'msaada' ?? Ni ajabu sana ...ila acha waibiwe ndo wataamka
 
Wewe ni Tapeli tu kama Matapeli wengine!

ONLINE APPLICATION SYSTEM (OAS) za vyuo vyote wameeka namba za simu za kuomba msaada incase Mwanafunzi amekwama ktk online process, na vyuo vingi vinafanana application interface, na zote ni USER FRIENDLY mf AOS za ISW, WI, MUST, NIT na MUHIMBILI Univ - hao ote wanatumia SIMS!

MADINI na CBE wao wanatumia SARIS! Hakuna namna yoyote wewe ya kuwaibia watoto watu vijihela vyao! Wewe kuwasaidia kuapply na kuwaibia sio sababu ya wao kupata ADMISSIO!

Hizi hapa ONLINE Support za baadhi ya Vyuo:

WATER INSTITUTE
0717210880 & 0742990140

UDSM:
Technical Support
+255 716 21 6308
+255 623 668950
+255 76 553 7512
support@udsm.ac.tz
Payment Issues
malipo@admission.ac.tz

NIT
IT Support:
0754283703.
Admissions office at 0752413123, 0762202215, 0782422199

Ndio maana nikasema, wajinga ndio waliwao! So endelea kuwatapeli watoto wa watu!
Ubarikiwe kwa msaada wako!!
 
Hivi "utapeli" utaisha lini??? Yaaani mtu kasoma hadi form six bado akosee mara mbili kujaza chuo na bado atafute 'msaada' ?? Ni ajabu sana ...ila acha waibiwe ndo wataamka
naam hakika niliosaidia wataleta majibu... kama wataniruhusu nileta screeenshots zao..
 
Back
Top Bottom