Tusifikie mahala na kuanza kupoint huyu ni wakabila gani au wale wametoka mahala gn ishu ya msingi kuangalia ni mtu ana uwezo gn that's all tusije tukaingia kwenye ukabila na kufikia hata kuwa na chuki na watanzania wenzetu wewe uliye anza kupoint mbona wale wametokea kaskazini bac wewe ndo...
Kapige kitabu mist mkuu wako vizur taasisi hiz kuanzia dit, ATC na mist zinachalenji sawa na ubora wa elimu ni the same coz mfumo wao ni huo huo mmoja usisikilize maneno ya vijiweni
Kweli mkuu your right Mimi najiuliza why waafrica ni watu wakupokea tu kila kitu bila hata kufikiri, when will we stop being colonized by this white mens this forever living and there network marketing is shit
Ukikumbatia dini unakumbatia ignorance kuwa quoted anaweza aka quotiwa mtu yeyote as long as amezungumza ukweli sioni ubaya na hilo ila ni vizur pia ugusiye na mapungufu yake pia ili tuweze kuona pande zote mbili zake
Kweli mkuu tatizo letu waswahili wengi tunadharau sana taaluma mwisho wa siku nyumba yako inapata crack baada ya miezi sita tu alafu ndo unaanza kujuta ningejua
Mkuu hayo ni mawazo finyu kuwa na professional kwenye kaz zako ni kitu cha muhimu km unataka utendaji bora hao unaowaita mafundi wa mtaani ni wazur lkn wanabubaa nyingi aka kulipua kaz ningependa kumshauri mtoa mada afanye gathering of materia mwenyewe kwanza kabla ya kuanza ujenzi
Mkuu swali lako zurii ila lugha uliotumia sio. Kuhusu wahamiaji wanazama kwa sababu vyombo vyao haviko kwenye usalama wa kutosha alafu wanajaa kupitiliza na ishu ya kuhamia europe mm siafikiani na hilo to my take africa has a lot of resources we Africans should benefit sioni haja ya kukimbilia...
Were you scared of birth death is human evolution whether you are scared or not you will still die someday as long as you are living and there is no wrong with death it is there and will still be there whether you like it or not our perception is what brings fear
Before going far asking questions about God why don't you ask questions of your existence God atajibu maswali yake na wewe wa paswa kujibu maswali yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.