Usitoe tathimini kitoto, Huwezi kuwa na pesa pia una marafiki wenye pesa? Hapo ni maswali mawili tofauti kwanza Lowassa pesa katoa wapi hiyo moja yaani za kwake mwenyewe, pili hao wenye pesa wanamzunguka kwa minajili ipi? Ni Silvio Berlusconi wa Tanzania? Na Berlusconi kaishia wapi? Umeahdiwa...
I dont know what to tell you more than this.....
The love of money is the root of all kinds of evil. --Jesus
Let us treasure up in our soul some of those things which are permanent..., not of those which will forsake us and be destroyed, and which only tickle our senses for a little...
Mapungufu ya mama migiro ni kwamba hatujaweza kupima uwezo wake kwa wananchi (kupitia jimboni hata kama angeshika nafasi ya tatu), kwahiyo inabakia tafsiri tu kwamba ushawishi wake pengine ni kwa watu waliokuwa nae karibu ambao wameweza kumpima.
Je huyu hapa ulie mtaja....
Professor Hassa...
wanaeambatana nae wachunguzwe vyema maaana wasije wakatutia aibu ya kukutwa na SEMBE. Hili mimi naamini linawezekana kabisa. Maaana sasa hivi hajulikani nani siye na nani ndiye katika ubebaji wa madawa
Masomo yatachelewa safari hii kwani mpaka sasa ndo kwanza mitihani ya C.A inaendelea so ifwatiwe na ya C.O then ndo wanafunzi wapya waingie...so nadhani ni mwezi wa novemba ndio matarajio jamani. Kwahiyo msihofu bado muda upo sana. Tuwe na subira na kumuomba mungu atujarie katika matarajio yetu
Unadalili za kuwa na genetics za serial killer, unatakiwa ujichunguze soon utahama katika mambo hayo ya kuwazalisha na utaanza kuwauwa.. Kamuone mtaalamu wa saikolojia mapema kabla maji hayaja mwagika mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.