Watoto wa rafiki wa mke wangu ni wangu, nawahitaji

HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
813
1,000
Kwa mtu anaejiita msomi, kweli , I worry about how your brain works.

Alikuomba umsaidie amzalie mumewe, ukakubali. Sasa unataka watoto wawe na jina lako, kwani ulifikiri anakuzalia wewe?? Kwenye nchi zilizoendelea kuna familia/wanawake wengi wanazaa kupitia sperm donor; lakini huwezi kusikia sperm donor anakuja kudai watoto wahamie kwao na wachukue jina lake la mwisho. NO. That's not possible. You can take them to court, but you will lose the case! You will lose your wife, your family, and friendships. There is a good chance you will lose your LIFE. Usichezee familia za watu. Ohoooooo.

Kwa vile ni mke wa mtu, makubaliano hayakuwa kwamba nitamchukua na lahasha sio lengo langu. Hapa tunazungumzia suala la watoto "to legitimise them" ili wanitambue kwamba mimi ndo baba yao na watumie jina langu la Wiyelele
 

Africa_Spring

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
428
0
Unadalili za kuwa na genetics za serial killer, unatakiwa ujichunguze soon utahama katika mambo hayo ya kuwazalisha na utaanza kuwauwa.. Kamuone mtaalamu wa saikolojia mapema kabla maji hayaja mwagika mkuu.
 

JENDALUJEJE

Member
Nov 18, 2012
43
0
endelea kuwauzia chai....
My bro Wiyelele,........Its like UMEBALEHE ukiwa NDOANI hivi?.....au una tatizo gani?..Trend ya threads zako na stori zilizomo....mhn !Yaani akili yako inafanana na movement ya mshale wa saa mbovu.......Punguza sarakasi kijana.

Otherwise,find a psychological help soon!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom