Recent content by Advocate_Silayo

  1. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Did you Know?

  2. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Thank you 2024 🫱🏾‍🫲🏽

    As 2024 draws to a close, I take this moment to reflect on the year that has been a year of lessons, growth, and significant life changes. This year, I experienced a profound personal loss with the passing of my beloved mother. Her departure has been a painful reminder of life's fragility and...
  3. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Update mpya Application ya WhatsApp

    WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once). Ni maendeleo mazuri ya kiteknolojia lakini nadhani inaweza kutumiwa kama chombo cha kumtukana mtu mwingine kwa maneno na...
  4. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii na uwajibikaji wa Raia wa kidigitali

    Tangu kuanzishwa kwa mitandao ya kijamii imekuwa ni njia rahisi na nyepesi ya kuwafanya watu kukutana kwa uharaka hata kama wapo katika umbali mkubwa sana, leo hii mtu anaeishi Tanzania anaweza kuongea na kuonana kwa macho na mtu anaeishi katika nchi nyingine nyingi Duniani. Urahisi huu umeletwa...
  5. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania The Influence of Social Media on Global Connectivity and Personal Accountability

    Since the inception of social media, it has become an easy and convenient way for people to connect quickly, even if they are far apart. Today, someone living in Tanzania can speak and see someone living in many other countries around the world. This convenience has been brought about by the use...
  6. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Ushuru wa Taka

    Tayari kipindi kinachohusiana na 𝗨𝘀𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗸𝗮 kutoka #SilayoDigitals, kimesharuka hewani. Karibu sana
  7. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Uchawi ni kosa la jinai, Mahakama ikikukuta na hatia unafungwa jela

    Haya yote ni kwa mujibu wa sheria gani?
  8. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ufafanuzi kuhusiana na HAKI ZA BINADAMU na manufaa yake katika ustawi waTaifa letu la Tanzania

    Haki za binadamu ni swala ambalo haliwezi kukwepwa na binadamu yeyote yule Duniani. Ni haki ambazo kimsingi zina manufaa makubwa katika ustawi wa jamii nzima. Katika nchi yetu ya Tanzania haki hizi za binadamu zimeorodheshwa katika Katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977...
  9. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Kama unaweza kufanyia kazi zako tokea nyumbani na haitakuathiri utendaji wako tafadhali sana bakia tu nyumbani, third wave #COVID19 its very LETHAL🙆🏾‍♂️, wimbi la 3 la korona ni HATARI mno linaua kweli kweli na haina cha sijui huyu mzee ndio yuko vulnerable,inaangusha yeyote yule.
  10. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya

    Binafsi kuhusu #KatibaMpya, nataka ije leo kesho ila ambacho SITAKI ni kuanza upya kwa mchakato yaani tuanze tena kuchukua maoni ya wananchi na kutengeneza rasimu nyingine,nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya nzuri na wasiirejee ile Katiba...
  11. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali wa Zimamoto: Changamoto ya maji Kariakoo ilisababisha kuchelewa kuzimwa kwa moto

    Jeshi la zimamoto lina upungufu wa magari ya kisasa ya kupambana na moto serikali inabidi iwekeze sana kwenye hili jeshi,siombei lakini imagine kituo cha mafuta au gesi kinalipuka leo hii tutaweza kukizima kwa ustadi kweli au ndio tutabakia kusema Mungu atusaidie na sio kupambana na majanga ya...
  12. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania To all Companies & NGO

    Kwa akili yako unadhani kila mtu anatakiwa ajiajiri, halafu swala lingine mimi nina kazi tayari usione kila anaeandika humu ana hilo tatizo sometimes tunaandika matatizo yanayowakuta wengine,panua akili kidogo ukiwa unawaza usiishie mwisho wa pua tu hutaweza jua vingi kwa mtindo huu. Hiyo rate...
  13. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania To all Companies & NGO

    Hiyo Hiyo ni janja janja tu wanafanya kwasababu kama wana uwezo wa kukuambia uombe kwa kupitia e mail iwaje leo washindwe kukujibu kwa same e mail kuwa hujafanikiwa kupata kazi?
  14. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania To all Companies & NGO

    Na amechapia 😂😂🙌🏾
  15. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania To all Companies & NGO

    Kuna watu huwa wakishika simu wanaandika tu kila linalomjia kichwani mwake aiseeh, mbaya sana hii hata kama ni uhuru wa maoni ila maoni bila kufikiri nako ni mbaya sana
Back
Top Bottom