zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,628
- 3,155
Sasa sisi tufanyeje? Tujikunyatie ndani? Kama ni kuvaa mask vaa hakuna aliyekukataza. Hata chanjo nimesikia mtaletewa, ikifika chanja.Nipo Dar es salaam, kimsingi ukisoma nilichoandika ni kwamba kilichosaidia ni immunity Ila maambukizi na early stage ilikuwepo but hali haikufika ya kuweka mitungi ya gesi lakini believe me ugonjwa upo sijui una Imani gani lakini unaongea na mtu aliyekutwa na maambukizi na akatibiwa na kupona mapema.
Kumbuka Mwanza wanahitaji mitungi 500 endeleeni kupiga domo za ramli . It's not about politics hapa naongea jambo ninalojua na nimeexperience.