Recent content by Advaxendayi

  1. Advaxendayi

    Yai la nani?

    Yai nikwako kabisa. lakini na huyo jogoo wako, akaweza akatagaa?
  2. Advaxendayi

    Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

    Nimekubali kweli Paul wawanyarwanda amefanya kitu kubwa kwa nchi yake, lakini usisahau na vitu aliyewafanyia yile miaka ya 90. kwa mfano, mimi simpendi kwa sababu alikua anafanya genocide ya 94. chochote atawafanyia, ni kizuli kwa mda wa sasa akibaki kicwani kwa serikali ya rwanda, nathani...
  3. Advaxendayi

    Aliyesema wanaume hawaaminiki ni nani?

    Acha Mungu mwenyewe awaonyeshe vinavyotakwa watawaamini wame wao! wakijua kwanini mme anampeleka kwake mkewe, wataona kwamba wamelazimishwa tangu mwanzo wa maishao kuamini wame wao.
  4. Advaxendayi

    Kuishi na ndugu wa mume

    Nikuambiye nini? sina chochote
  5. Advaxendayi

    Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    i wonder kwa nini na kila mtu anajifafanuria maneno ya bibliya atakavyo. mi sijui kwamba iliandikiwa kusomwa na wanadini ama kila mtu.
  6. Advaxendayi

    Nisaidieni kujua hii hali.vijana kuzeheka wakiwa na umri mdogo.

    wanafanya kazi nyingi nakufikiria katika mipang myingi. na katika miaka 30 watakua wazee
  7. Advaxendayi

    Afrika ya Kati: Watu 37 wafariki kwenye mapigano kati ya Waislamu na Wakristo

    Dini ni tatizo gani? mimi sielewi mtu ambaye anamuua mwenziwe kwa mana ya dini tu! wazungu wenyewe wenye dini, wanasaidiana kuwafunza watu wingine ili wapate wanatakacho lakini hakun mzungu ataua mwenziwe, kwanini africans? kanisumbua kabisa
  8. Advaxendayi

    Afrika ya Kati: Watu 37 wafariki kwenye mapigano kati ya Waislamu na Wakristo

    Ninakukubali sana. Mzungu ndiye mwanzo wa mapigano yoyote kutoka madini. yeye ataweza kutazama jinsi tunapigana tu.
  9. Advaxendayi

    Hivi ni kwanin kula Mbwa ni kitu cha kwaida..=??

    itaendeka kutokana na nchi!
Back
Top Bottom