Afrika ya Kati: Watu 37 wafariki kwenye mapigano kati ya Waislamu na Wakristo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Umoja wa Mataifa(UN) umetoa taarifa hiyo jana Novemba 16 na kueleza kuwa mapigano hayo yalisababisha Kanisa kuchomwa moto, watu zaidi ya 2,000 kuathirika na maelefu kukimbia makazi yao huko Alindao, Afrika ya Kati

Vyanzo vya habari vya Kanisa vimesema awali Mchungaji aliuliwa katika mapigano ya Alhamis baada ya Wapiganaji wa Kikristo maarufu 'Anti-Balaka' walipowaua Waislamu na kuibua mashambulizi ya kulipa kisasi

Najat Rochdi kutoka UN anayehusika na masuala ya Kibinadamu nchini humo alisema "Mashambulizi ya kila mara kwa raia hayakubaliki. Raia wanahitaji ulinzi, usalama na maisha mazuri ya baadaye"

Afrika ya Kati, moja ya nchi masikini ingawa ina utajiri wa dhahabu na Uranium imeshindwa kusimama tangu kutokea kwa vita vya wenye kwa wenye mwaka 2013 alipotolewa madarakani Rais Francois Bozize(Mkristo) na Waasi wa Kiislamu maarufu Seleka

Katika kuitikia hilo Wakristo ambao ni takribani asilimia 80 ya Watu nchini humo waliunda Kikundi cha kulipa kisasa kilichoitwa 'Anti-Balaka
=======

At least 37 people were found dead in a town in restive Central African Republic, the UN said Friday, after clashes between Christian and Muslim-dominated militias that saw a church torched in the latest surge of sectarian violence.

Church sources had previously said a priest was killed in the violence, sparked on Thursday in the central town of Alindao when Christian militiamen, known as anti-balaka, killed Muslims prompting revenge attacks

The UN on Friday said 37 deaths were confirmed in Alindao, while some 20,000 people were affected by the violence, which forced “thousands” to flee.

“This vicious cycle of repeated attacks against civilians is unacceptable. Civilians want security, peace and a future,” said Najat Rochdi, UN humanitarian coordinator in the CAR.

One of the world’s poorest nations despite a rich supply of diamonds and uranium, the CAR has struggled to recover from a 2013 civil war that erupted when President Francois Bozize, a Christian, was overthrown by mainly Muslim Seleka rebels.

In response, Christians, who account for about 80 per cent of the population, organised vigilante units dubbed “anti-balaka”.

Alindao is a stronghold of the Union for Peace in CAR (UPC) Muslim militia that has its roots in the Seleka group. It has witnessed chronic fighting in recent months that has also killed two UN soldiers and a humanitarian aid worker

Earlier, Vladimir Monteiro, spokesman for the UN peacekeeping mission Minusca, said that the Christian anti-balaka had killed Muslims and an hour later, “the UPC responded by attacking a camp for displaced people” in Alindao.

The church in Alindao and a part of the camp were burnt.

“Part of the population fled to the bush. Hundreds of displaced people have found shelter at Minusca’s forward operating base” in the region, Monteiro added.

A church source in the capital Bangui said one priest was among those who died in the clashes, while another has been missing since the violence.

Alindao lies on a critical route traversing the south and east of the country and is in the heart of a region numerous gold and diamond mines that have helped fuel the conflict.
 
Mnaona upumbavu wa Mzungu! Yaani aliona akileta pande mbili zinazopingana kuna siku watavutana kamasi.

Hizi dini tumezishupalia kuliko kuzaliana.
Ujinga wetu watu weusi ndio uliotufikisha hapa, hao wazungu kuwasingizia ni sababu ya kuukwepa ukweli kuwa watu weusi ni jamii ya wajinga sana

Mzungu hutumia weakness za mjinga kufanikisha mambo yake
 
Mwafrika hatajielewa mpaka mwisho wa dunia
Africa imejaaliwa na neema zote lakini hela zinazopatikana tunanua silaha na kuuwana
Nchi imejaa dhahabu na uranium lakini nguvu inaelekezwa kuuana tu
Hakuna mzungu hapo ni upambavu wao tu
 
This is Africa, the laughing stock of the world. They've nothing to write home about. The continent is renowned only for the negativities such as grueling civil wars, corruption, hunger and penury, harbouring dictators, worshiping witchcraft and the list is endless.

As the 21st century ticks away, the continent still have no time for development.! With its mineral riches and the fertile land, the continent has nothing to show in development terms.!!

Much as we continue to blame our failures on the white people instead of ourselves, Africa will continue to wallow in penury despite possessing some of the resources no one else possesses.
 
pale rwanda mzungu alipoona kuna makabila mawili tu akawapa utawala wachache,akajua tu siku moja mtatwangana kikabila,india ilikua nchi moja akatumia dini kuwagawa,kuna nchi moja ipo mashariki mwa afrika,aliona ina makabila mengi ngumu kuwagombanisha,akawapa wachache madaraka,akawatia na ujinga wa udini..hawajapona huu ujinga,mungu jaalia wapone..maana pakinuka watachinjana kwelikweli
 
Dini ni tatizo gani?
mimi sielewi mtu ambaye anamuua mwenziwe kwa mana ya dini tu!
wazungu wenyewe wenye dini, wanasaidiana kuwafunza watu wingine ili wapate wanatakacho lakini hakun mzungu ataua mwenziwe, kwanini africans?
kanisumbua kabisa
 
Umoja wa Mataifa(UN) umetoa taarifa hiyo jana Novemba 16 na kueleza kuwa mapigano hayo yalisababisha Kanisa kuchomwa moto, watu zaidi ya 2,000 kuathirika na maelefu kukimbia makazi yao huko Alindao, Afrika ya Kati

Vyanzo vya habari vya Kanisa vimesema awali Mchungaji aliuliwa katika mapigano ya Alhamis baada ya Wapiganaji wa Kikristo maarufu 'Anti-Balaka' walipowaua Waislamu na kuibua mashambulizi ya kulipa kisasi

Najat Rochdi kutoka UN anayehusika na masuala ya Kibinadamu nchini humo alisema "Mashambulizi ya kila mara kwa raia hayakubaliki. Raia wanahitaji ulinzi, usalama na maisha mazuri ya baadaye"

Afrika ya Kati, moja ya nchi masikini ingawa ina utajiri wa dhahabu na Uranium imeshindwa kusimama tangu kutokea kwa vita vya wenye kwa wenye mwaka 2013 alipotolewa madarakani Rais Francois Bozize(Mkristo) na Waasi wa Kiislamu maarufu Seleka

Katika kuitikia hilo Wakristo ambao ni takribani asilimia 80 ya Watu nchini humo waliunda Kikundi cha kulipa kisasa kilichoitwa 'Anti-Balaka
=======

At least 37 people were found dead in a town in restive Central African Republic, the UN said Friday, after clashes between Christian and Muslim-dominated militias that saw a church torched in the latest surge of sectarian violence.

Church sources had previously said a priest was killed in the violence, sparked on Thursday in the central town of Alindao when Christian militiamen, known as anti-balaka, killed Muslims prompting revenge attacks

The UN on Friday said 37 deaths were confirmed in Alindao, while some 20,000 people were affected by the violence, which forced “thousands” to flee.

“This vicious cycle of repeated attacks against civilians is unacceptable. Civilians want security, peace and a future,” said Najat Rochdi, UN humanitarian coordinator in the CAR.

One of the world’s poorest nations despite a rich supply of diamonds and uranium, the CAR has struggled to recover from a 2013 civil war that erupted when President Francois Bozize, a Christian, was overthrown by mainly Muslim Seleka rebels.

In response, Christians, who account for about 80 per cent of the population, organised vigilante units dubbed “anti-balaka”.

Alindao is a stronghold of the Union for Peace in CAR (UPC) Muslim militia that has its roots in the Seleka group. It has witnessed chronic fighting in recent months that has also killed two UN soldiers and a humanitarian aid worker

Earlier, Vladimir Monteiro, spokesman for the UN peacekeeping mission Minusca, said that the Christian anti-balaka had killed Muslims and an hour later, “the UPC responded by attacking a camp for displaced people” in Alindao.

The church in Alindao and a part of the camp were burnt.

“Part of the population fled to the bush. Hundreds of displaced people have found shelter at Minusca’s forward operating base” in the region, Monteiro added.

A church source in the capital Bangui said one priest was among those who died in the clashes, while another has been missing since the violence.

Alindao lies on a critical route traversing the south and east of the country and is in the heart of a region numerous gold and diamond mines that have helped fuel the conflict.

Afrika ya kati idadi ya waislamu ni kubwa kuliko Cristian

Waislamu ni %55
 
Back
Top Bottom