Recent content by adolf440

  1. adolf440

    JamiiForums Tanzania Jingles za Clouds FM na Bongo FM ni kiboko

    Hivi kile kipindi cha Jumamosi saa 1 kamili usiku mpaka saa 3 kamili usiku, kilikuwa na nyimbo nzuri sana za old school, naona siku hizi wanachanganya mpaka na za bongo.
  2. adolf440

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Upo sahihi sana,Mambembe , nilishafanyaga hayo maswali ya online.....yaaaniii nadhani hakuna kitu cha ajabu km hicho, ni km hawataki candidates vile. Jamaa ni mjivuni kweli, tena sanaa, afuu mweusi ka soli ya komamanga. Inaonyesha hata wanaoajiriwa hapo km HR hawakai sana, maana ni mara kwa...
  3. adolf440

    JamiiForums Tanzania Kati ya Zari na Hamisa ungemuoa nani?

    Kwa kweli, ha ha haaaa. Hilo la mada umelikwepa kiungwana.
  4. adolf440

    JamiiForums Tanzania Kati ya Zari na Hamisa ungemuoa nani?

    ushacomment mkuu, ha ha haaa.
  5. adolf440

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kujirusha toka angani: Muasisi wa mchezo huo Tanzania afariki baada ya kujirusha na kupata majeraha

    Huyo jamaa nilimshangaa kwa kweli, halafu habari yenyewe waliionesha kama fasta fasta hivi. Alianza kusema ....ohhh nimeanza kuruka Mtwara sasa nimekuja hapa Dar kuutangaza huu mchezo....Daaah.. Sijui mitambo iligoma kupunguza kasi ya kushuka chini, hata sielewi.
  6. adolf440

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Naelekea kukuelewa, ila ulivyoongeza ...."..bila kutumia njia sahihi na wakati husika..", kidogo nimechanganyikiwa, naomba ufafanuzi mkuu tafadhali.
  7. adolf440

    JamiiForums Tanzania Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

    TEF wangesema tuu kuwa, "kwa kuwa Mheshimiwa Rais ameshawapatanisha kule Tanga, TEF hatuna sababu ya kuendelea kufungia habari zake kutangazwa". Basi, ila ile sakrandimba ya jana haikuwa sahihi.
  8. adolf440

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu: Hivi kwanini wake za watu mnajiamini kupita kiasi?

    Wachumba thelathini....
  9. adolf440

    JamiiForums Tanzania RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Aliwahi kusema mkuu wa mkoa wa Dar wa zamani (Mzee Yussuph Makamba), "Mheshimiwa mtu mzima akikosea haombi msamaha, anaguna tuu...mmh", hii ilitokea mitaa ya msimbazi mbele ya aliyekuwa waziri mkuu aliyejiuzulu (Mh.Lowassa), baada ya jambo fulani kutokwenda sawa.
  10. adolf440

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndio wa kuoa ila sijui kama anapatikana Tanzania

    Ukiona wa hivyo ujue huo ni mtego, uruke haraka..
  11. adolf440

    JamiiForums Tanzania Kama kweli watanzania wana msapoti Tundu Lissu basi yafanyike maandamano ya AMANI nchi nzima!

    Blaza unawajua trafiki wewe au unawasikia?
  12. adolf440

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kweli hapa LIKE tyuu mkuu.
  13. adolf440

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya upigwaji picha ya mzungu na mswahili

    Na jinsi mwafrika anavyozidi kutanua ndio shauku inaongezeka, au siyo jamani?
  14. adolf440

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jina la Embe ng'ong'o kwa kiingereza

    Ni mango tuu, maana maembe yetu ya TZ yana majina mengi, kama vile embe bwabwa, embe nyonyo, embe viringe kwa wakazi wa Tanga ni viunga vyake wanayafahamu sana haya n.k
  15. adolf440

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Fast Jet kuzuia perfume kwenye mizigo ya abiria

    Mimi hiyo DG, sikuwa naifahamu mwanzoni ila niliwahi kukutana nayo kwa hao hao fastjet wakaniambia kama nataka kusafiri na hiyo perfyum nirudishe begi chini ili lipite kama mzigo na sio begi la mkononi. Nilipandwa na jazba na kung'oa mfumo mzima wa perfyum ndio nikawaachia pale. Walibaki...
Back
Top Bottom