mkuu
sina taarifa zozote kuhusu ada/malipo ambayo mtu hutakiwa kulipa ili afundishwe package nzima ya adobe. ninachofahamu kuna vyuo huendesha course za graphics design ambapo adobe PS na illustrator hufundishwa.ila sijawahi kusikia wakiendesha course za adobe AE au premiere pro.labda...
na huo ni mfano wa familia za watu wa maarufu wa magharibi ambako unyanyapaa kwa mashoga si mkubwa sana kama huku kwetu.
mfano mwingine ni familia moja pale mbezi beach,baba ni mtu mwenye uwezo mkubwa kifedha,jumba la kifahari,magari ya kutembelea nk,lakini mtoto wake pekee wa kiume ni...
former basketballer magic johnson alibahatika kupata mtoto wa kiume,lakini matokeo yake yamekuwa kama mtoto huyo anavyoonekena katika picha hapo chini.haya mambo ya kunyanyapaa jinsia za watoto wa kike siyo mazuri.mda mwingine bora kuwa mpole tu na kuacha mungu atende miujiza yake ktk uzao...
mkuu samahani kidogo nilipotea jamvini,majukumu yalinibana.huyu bwana mdogo tusimpuuze,twende naye taratibu ili tumsaidie.anahitaji msaada wetu wa kimawazo.
bila shaka, huwezi kuongea sana sababu unajua ni uongo,utudanganya tu hapa.the truth is you are not on a class you claim to be.it appears that your words are an illusion of what you wanted to be in your life(from my psychological perspectives),ulikuwa na expections kubwa ktk fani uliyo ipenda,ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.