Niulize maswali kuhusu software ya Adobe After Affect & Adobe Premiere Pro

Niulize maswali kuhusu software ya Adobe After Affect & Adobe Premiere Pro

kwa kuwa mjadala wetu unafanyika online,msada pekee ninao weza kukusaidia kwa sasa ni kuniuliza swali,nami nita jitahidi kadili ya uwezo kukujibu kwa kukupa maelekezo.halikadhalika,nina video tutorials za kutosha za AE ambazo ni very useful for beginners.jisikie huru kunitafuta kama utazihitaji.

adobe after effect tutorials.
attachment.php

Napataje hizo tutorials mkuu, tena naomba zote had za photoshop kama kuna uwezekano as niljaribu kugoogle ckupata nzuri
 
Yaan nikidowload faster to inamaliza bt niki instal..inafika kwenye next inapotea haionekan tena muendelezo wake kama wanavyoonyesha kwenye zle step kk

ninayo dvd yake nipate hapa ila utanipa maji ya kunywa kidogo 0785 600 435
 
Huwa unatumia product za digital juice kwa kazi zako?😎
hapana agape.
situmii product za digital juice kwa sababu product zao nyingi ni templates,kama unavyojua,templates hazimpi mtu nafasi ya kujifunza ubunifu zaidi,you just pick files and drug/replace them to where the suppose to.creativity isn't applied.

kwakuwa bado tunajifunza,nashauri tujikite zaidi katika functionality and application ya softwares(adobe AE & premire pro),kuliko kuanza kuangazia template products.ni ushauri tu.
 
mkuu nimejaribu kufuata link ya ku download AE, ime download adobe creative cloud, na hapo hakuna list ya ku download adobe after effects. Msaada tafadhali
 
mkuu nimejaribu kufuata link ya ku download AE, ime download adobe creative cloud, na hapo hakuna list ya ku download adobe after effects. Msaada tafadhali
mkuu nashauri ujaribu kutumia link ambazo ni torrent base.
 
mwenye swali,ushauri,maoni au mbinu ya ziada kuhusu AE na Premiere Pro unakaribishwa.
 
Course ya package nzima ya ado e ni sh ngapi na inafundishwa wapi kwa Dar
 
Course ya package nzima ya ado e ni sh ngapi na inafundishwa wapi kwa Dar
mkuu
sina taarifa zozote kuhusu ada/malipo ambayo mtu hutakiwa kulipa ili afundishwe package nzima ya adobe. ninachofahamu kuna vyuo huendesha course za graphics design ambapo adobe PS na illustrator hufundishwa.ila sijawahi kusikia wakiendesha course za adobe AE au premiere pro.labda wachangiaji wengine wanaweza kuwa na taarifa sahihi juu ya hilo.tuvute subira.
 
@Boanerge
Kwa ajili ya kujifunza motion graphics na editing (Adobe AfterEffects na Adobe Premiere) pamoja na animation (2D na 3D) kuna chuo (MediaOne) kiko Upanga Dar es Salaam. Cheki website yao hapa. Sijawahi kujifunza wala kufanya kazi hapo lakini najua wanafundisha vizuri.
 
Back
Top Bottom