ni bahati mbaya sana sikupenda "siasa za majigambo" ziingie ktk topic hii,hususani kwa jukwaa makini la Tech, Gadgets & Science.lakini kwakuwa thread unaipeleka huko,i will try to dance with your tune.
point.sina cha kuongeza
.
uzuri ni kwamba mimi ni mtazamaji mzuri wa EATV,na nimebahatika kuwa na urafiki wa karibu na baadhi ya staff wa pale hasa ma-cameraman,editors na watu wa transmission.nilibahatika kusoma nao college moja.la kusikitisha tu ni kwamba hatukupata bahati ya kusoma kwenye "reputable institute outside Tanzania".baadhi yao wapo hapa JF,nimewaalika tu kiroho safi waje wachangie japo mawili matatu.itakuwa bora ukituwekea moja ya motiongraphics video ulizo wahi fanya EATV.hakuna shaka huwezi kosa data hata kama sera za kampuni haziruhusu (mtizamo wangu tu).
nina idea kidogo na marketing japo sikusomea,ninavyo fahamu ni kwamba big budget cooperate project zinaenda kwa kampuni ambazo ni registered and well established.isipokuwa tu a freelancer can be hired as an expert kwa hiyo kampuni ambayo imepewa kazi na corporate company.tunarudi pale pale,freelancer ktk creative industry bado ana nafasi kubwa ya kuwa hired kutokana na efficiency yake ktk kazi.hana haja ya kugonga milango ya ofisi za watu kutafuta kazi.anachoweza fanya ni kujitangaza tu kupitia vyanzo mbalimbali.mfano social media,blogs,website,forums, etc.
jambo lingine ni kwamba,kama umefata taratibu zote za kusajili kampuni brela na ina TIN number,ili tu u-target project za mashirika,kwanini tena wewe mtu wa production uingie mtaani kutafuta kazi?.kwanini usiajili mtu wa marketing akufanyie kazi ya kukutafutia soko.au ni kampuni ya mfukoni!!?,kila idara una cover mwenyewe!!?.just curious you know.:madgrin:
laiti kama ungejua most of online tutors ambao hata wewe huwasoma ni self taught,usinge dharau swala la watu kutafuta maarifa mtandaoni.
nikupe mfano,leo hii mmiliki wa video copilot endrew kramer anaheshimika duniani kwa uwezo wake wa kuifundisha AE na kuunda motion graphics plug-ins mbalimbali.je unajua kwamba jamaa alijifunza AE yeye mwenyewe tangu angali kijana?.msome
HAPA.
duh!!.hongera sana mkuu.
point nzuri.sina tatizo nayo.