Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
- Thread starter
- #41
mkuu samahani kidogo nilipotea jamvini,majukumu yalinibana.huyu bwana mdogo tusimpuuze,twende naye taratibu ili tumsaidie.anahitaji msaada wetu wa kimawazo.Kwa kifupi unaongea pumba tupu, hukawii kutuambia hata Andrew Cramer mnafahamiana, wewe ni wa kupuuza tu. huna msaada hapa zaidi ya majigambo tu.