nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,733
- 14,157
ha ha ha ha wakiolewa watamlipa sana hapo!
Hao tayari weshaingizwa kwenye ''system''
''Design'' ni watumishi/...nyikazi tayari katika Taifa lao.
ha ha ha ha wakiolewa watamlipa sana hapo!
Hasa mbwa wao wanafuraha.:becky:Familia bora na yenye furaha.
Mpaka mbwa wako happy.![]()
- SHARE PICTURE
+16
Both Malia (left) and Sasha (right) certainly look like sophisticated young ladies in on-trend skater dresses for a family portrait taken on Easter Sunday this year
jina ukoo ndio limeishia kwake, angepata walau wa kiume wa kuendeleza jina vinginevo litabaki kusomeka ktk vitabu tu
Sasha sura ya peke yake ingekua bongo wangesema sio wa Obama kasingiziwa
obama kala hasara yaani mitoto ya kike tu
kudumisha jina la ukoo ndio kila kitu. watu wanahesabu viziz kadhaa mbele kwa kufuata uzao wa watoto wa kiume sio wa kike. ndio hasara ninayoisemea hapa.Hasara wapi, kuna watoto wengine wa kiume hasara kuliko hao wakike, kutwa kuvuta bangi na unga, labda ukutwe wanavurugwa na wanaume wenzao. We unasema nini bana...
obama kala hasara yaani mitoto ya kike tu
obama kala hasara yaani mitoto ya kike tu
former basketballer magic johnson alibahatika kupata mtoto wa kiume,lakini matokeo yake yamekuwa kama mtoto huyo anavyoonekena katika picha hapo chini.haya mambo ya kunyanyapaa jinsia za watoto wa kike siyo mazuri.mda mwingine bora kuwa mpole tu na kuacha mungu atende miujiza yake ktk uzao wako.ni maoni tu mkuu.
![]()
na huo ni mfano wa familia za watu wa maarufu wa magharibi ambako unyanyapaa kwa mashoga si mkubwa sana kama huku kwetu.astakafulrahi hasara mara dufu
kudumisha jina la ukoo ndio kila kitu. watu wanahesabu viziz kadhaa mbele kwa kufuata uzao wa watoto wa kiume sio wa kike. ndio hasara ninayoisemea hapa.
kudumisha jina la ukoo ndio kila kitu. watu wanahesabu viziz kadhaa mbele kwa kufuata uzao wa watoto wa kiume sio wa kike. ndio hasara ninayoisemea hapa.
jina ukoo ndio limeishia kwake, angepata walau wa kiume wa kuendeleza jina vinginevo litabaki kusomeka ktk vitabu tu
na huo ni mfano wa familia za watu wa maarufu wa magharibi ambako unyanyapaa kwa mashoga si mkubwa sana kama huku kwetu.
mfano mwingine ni familia moja pale mbezi beach,baba ni mtu mwenye uwezo mkubwa kifedha,jumba la kifahari,magari ya kutembelea nk,lakini mtoto wake pekee wa kiume ni shoga.mzee kachanganyikiwa sana,yule kijana kapelekwa kwa wachungaji wote maarufu unao wajua wewe ili aombewe aache mambo hayo lakini wapi.mimi ndio maana siwadharau watu wenye watoto wa kike.