Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Hivi hawa watoto wana ma boyfriend? just ask wajameni! wananitesa sana hasa huyo mdogo
Hivi wewe kilaza unajuwa maana ya under age?

hiyo ndio point ya msingi lakini si kudharau jinsia ya mtoto sababu huwezi jua akibarehe/kuvunja ungo atakuja kuwa na hulka gani.Kuna jamaa ni billioner ana mtoto mmoja tu wa kike ni lesbian! jamaa akatangaza dau la milion mia mbili kwa mtu yeyote atakaye weza kumbadilisha huyo mtoto awe na hamu ya kuwa na hisia ya mapenzi na mwanaume na amshauri aache u lesbian achukue mpunga! haya mambo ni kumuomba mungu aepushe mbali!
Hivi wewe kilaza unajuwa maana ya under age?
astakafulrahi hasara mara dufu
Hivi hawa watoto wana ma boyfriend? just ask wajameni! wananitesa sana hasa huyo mdogo
former basketballer magic johnson alibahatika kupata mtoto wa kiume,lakini matokeo yake yamekuwa kama mtoto huyo anavyoonekena katika picha hapo chini.haya mambo ya kunyanyapaa jinsia za watoto wa kike siyo mazuri.mda mwingine bora kuwa mpole tu na kuacha mungu atende miujiza yake ktk uzao wako.ni maoni tu mkuu.
![]()
Wee jamaa umekuja speed nikidhani una nyege za back graund!