Recent content by Adamlili

  1. A

    kweli CCM imechoka mishahara ya wafanyakazi bado!

    huyu jamaa naona hazimtosha unataka tarehe rasmi ya mshahara
  2. A

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    ktk siasa siku moja ni sawa na saa. Yaan kubadili umma na kukuamini, ndo kitu wanachoenda kufanya CCM dhidi ya UKAWA.
  3. A

    Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    hapana hii sheria ya mtandao haijaanza kutumika. mkuu usidanganye watu bhana yule aliyepongeza majambazi ameshitakiwa kwa sheria ya magaxeti na ci ya mtandao
  4. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    waheshimiwa mechi yetu ni saa ngapi man u na toffees
  5. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mechi saa ngapi za kwetu bongo
  6. A

    Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    mkuu umesema alinyea debe wiki nzima ktk kituo gani cha polisi na ni kwa kosa gani litakalomuweka wiki nzima. Mi siamini sheria inatoa haki mtu kudhaminiwa na anatakiwa akae masaa 24 polisi sasa wiki duuu??????
  7. A

    Ujambazi umekithiri Mbezi kwa Msuguri

    Eneo la Mbezi kwa Msuguri sasa majambazi wanaotumia silaha wamekuwa tishio. Jana na majuzi wamewapora watu fedha kwa kutumia bastola jioni jioni. Jamani hali ni tete
  8. A

    10 African countries with most beautiful women

    hiyo danganya toto. huwezi kuiacha rwanda
  9. A

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    nakubali kabisa kuwa magufuli si lolote kwa lowasa ktk suala zima la ufisadi na kujilimbikizia.mali na si vingine.
  10. A

    Nimempa mimba shemeji kinachoniumiza ni damu yangu

    siwezi kukushauri kwa upuuzi uliofanya. we mzinifu mkubwa tena ungekuwa ndugu yangu ningeshakuua
  11. A

    Lowassa kurejesha fomu kesho

    lowasa hamna kitu maana nae ni ccm b kwa hiyo piga hawezi kuwaangusha ccm a. ccm wanaakili sana wamempandikiza lowasa huko
  12. A

    Uchaguzi wa CCM kesho utafuatiwa na "toroka uje"

    watakaotemwa ccm.watakwenda ccm b ambako ni ukawa maana lowasa ni mamluki wa ccm kwa cdm.
  13. A

    Sababu sita kwanini kura yako uipe CCM na si CHADEMA

    Huyu jamaa hata sijamuelewa nilidhan unatoa sababu za kimaendelea au mikakati ya ccm kimaendeleo
  14. A

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    mimi sina imani tena na CDM. Ni kampuni ya mbowe na wala.si chama
Back
Top Bottom