kweli CCM imechoka mishahara ya wafanyakazi bado!

Mai-Ndombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
542
Reaction score
837
hawa watu wamechoka,tarehe halisi za mishahara hazieleweki,mara 24,28,31,35,40 ni vurugu mechi,hakuna uhakika.Kwa sisi walimu ndio basi tena,tubadilishe serikali safari hii jamani
 
Huna akili ww, km mpaka leo ulimwengu wa ujasiri amali unategemea mshahara pole, ucpoangalia utakufa maskini acha kutuaibisha walim
 
hawa watu wamechoka,tarehe halisi za mishahara hazieleweki,mara 24,28,31,35,40 ni vurugu mechi,hakuna uhakika.Kwa sisi walimu ndio basi tena,tubadilishe serikali safari hii jamani

Aliyekwambia ukibadlisha chama mshahara utakua na tarehe moja tu ya kuingia ni nan? Nina mashaka na uwalimu wako
 
kwani mwisho wa mwezi umefika.. si tarehe 31.. why unataka ulipwe siku ambazo hujafanyia kazi?
 
hawa watu wamechoka,tarehe halisi za mishahara hazieleweki,mara 24,28,31,35,40 ni vurugu mechi,hakuna uhakika.kwa sisi walimu ndio basi tena,tubadilishe serikali safari hii jamani

hoja za kilofa na kipumbavu kabisa, tangu jk aingie madarakani aikumbuki kama kuna mwezi tulishacheleweshewa mishahara, acha kupotosha watu na muogope mungu kwa kuzusha; mmekosa sababu mmebaki mnadandiadandia tu, tumbili mkubwa wewe usiyekuwa na shukrani! Huenda hata sio mfanyakazi wa serikali hapo ulipo
 
hawa watu wamechoka,tarehe halisi za mishahara hazieleweki,mara 24,28,31,35,40 ni vurugu mechi,hakuna uhakika.Kwa sisi walimu ndio basi tena,tubadilishe serikali safari hii jamani

Mbona mshahara ushatoka wewe?!
 
Hili lichama limechoka, ni kuliondoa madarakani, hakuna lingine, maana tumelichoka.

Walimu komaeni msikubali, haiwezekani mpaka sasa mshahara uwe bado haujaingia. Mshahara wenyewe kiduchu.
 
hoja za kilofa na kipumbavu kabisa, tangu jk aingie madarakani aikumbuki kama kuna mwezi tulishacheleweshewa mishahara, acha kupotosha watu na muogope mungu kwa kuzusha; mmekosa sababu mmebaki mnadandiadandia tu, tumbili mkubwa wewe usiyekuwa na shukrani! Huenda hata sio mfanyakazi wa serikali hapo ulipo

Jamani msimpondee sana mtoa mada, kuna ka ukweli fulani maana kuna baadhi ya taasisi za serikali wamepokea waraka kuwa mishahara yao ya August itaingizwa tarehe 13 September 2015. Kwa hiyo msimtukane sana huyo ndugu. Waulizeni wa UDOM wawambie!!
 
Aliyekwambia ukibadlisha chama mshahara utakua na tarehe moja tu ya kuingia ni nan? Nina mashaka na uwalimu wako
Ukiona hivyo ujue mshahara umeishakata. Kwa sasa yupo kwenye mwendo wa kuungaunga tu mara leo maharage robo, kesho mchicha wa mia mbili, chai anakunywa ya ofisini. Huu mwezi wake!
 
Tunatengeneza fulana na bendera kwanza mshahara baadae!
 
Mwezi una siku 30 na leo ni siku ya 25, endelea kupuga kazi ujiletee maendeleo
 
Hujui kampeni zimeanza, mshahara ukiwahi waimba ccm namba moja watapata wapi posho?
 
Mtoa mada ni mnafiki na mzandiki sana,bila serikali ya ccm ungeajiriwa? Ba bado unategemea mshahara kuendesha maisha? Unawaaibisha walimu wenzio,
ndoroooooooooobo wewe.
 
Tulia wew kinda wa Lumumba hela amepewa mtoto wa jeikei akatengenezee tisheti za kampeni
 
Back
Top Bottom