balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,695
- 15,426
Tesha yupi?bado sijakusoma maana hapa pana sehem tatu tu za kuywa .1 ni forest bar 2.kwa mlosso 3.kwa january tesha ni wapi au bwaloni?
hapahapa karibu na kisambusa,kimandolu na kwa kagaruk