Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

waongezee sulphate, lumbesa za stanbic , ndio waelewe kwa nini mamvi anataka siasa za kistaarabu na sio kama akili yako inakokuepeka.


"ni ujinga kuiponda nyumba ya zege na mawe wakati yako ni ya kioo laini kama cha chupa ya chai"
 
Wote hao kwenye team hiyo hawakubaliki na wananchi ndo maana ata ugombeaji wao wa ubunge wamepita kwa rushwa mfn Nape,wasira,mwiguru nk
SASA SUBIRINI 4,4,2 YA UKAWA NI ZAIDI YA BACERONA
 
Msisahau pia kutuambia kwa nini tokea tumtaje Kinana katibu wenu anamaliza tembo hamjamkamata kwanini ?kuhusu Richmond ni Kikwete hilo jibu rahisi tu!!
 
Mimi nilijua ameapa kwenda mahakamani, kumbe ni porojo za kisiasa tu?
Aende mahakamani akafanye nini ilhali alishamtundika akiwa Bungeni? Au hujui kuwa Bunge ni mhimili mmoja kati ya ile mitatu ya dola? Kwikwikwikwikwikwiiiiiiii! Yaani tangu umekuwa BAVICHA hakika unachekesha sana. Huna hata chembe ya ufahamu
 
Uzuri UKAWA wanautambua mziki wa CCM!!! Basi tu, wanajifariji na Lowassa.

ccm hamlali kwa sababu ya ukawa.

hamtulii kwa sababu ya ukawa.

mnaweweseka kwa sabab ya ukawa.
mwaka huu ni mwisho wenu.

hyo timu imejaa:-
waongo
walafi
walarushwa
wadaku
mipasho na
uhuni sana.

ni mtanzania nani atawaskiliza watu wa hovyo kama hao??
 
Mabehewa mabovu tunayajua ...mkataba kwa ndugu yake tunaujua so mwakyembe na sita hawatusumbui
 
Msisahau pia kutuambia kwa nini tokea tumtaje Kinana katibu wenu anamaliza tembo hamjamkamata kwanini ?kuhusu Richmond ni Kikwete hilo jibu rahisi tu!!

Duh, hivi in kweli huyu huyu mzee kinana??? Hii itakua ni hatari sana kama kweli Huyu mzee anausika moja kwa moja.
 
Harrison Mwakyembe aliapa kutafakari uwepo wake ndani ya CCM endapo Lowassa angeteuliwa na CCM kupeperusha bendera yake kwenye mbio za urais hapo Oktoba huku akisisitiza kuzunguka nchi nzima kumzuia kwenda ikulu. Tayari CCM imeteua timu ya Kampeni inayojumuisha watu 32 akiwemo Mwakyembe. Ikumbukwe Mwakyembe ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyochunguza kampuni ya RICHMOND iliyopewa dhamana ya kufua umeme wa dharura. Kamati ile ilipelekea CC ya CCM kushinikiza Waziri Mkuu na Mawaziri Waandamizi wajiuzulu.
View attachment 278064

Kwikwikwikwikwiiiii! Lazima wakae chini mapema

Sisi tunataka mtupelekee huyo mtu mahakamani la sivi hizo ni porojo tu? Na tunataka mtuletee majina ya pesa za visandalusi ndio tutaelewana lkn ikulu ni lowasa kama ufisadi aliufanyia ccm si chadema. Na ndio maana tunasema ccm ni mafisadi tukianza na mkuu wenu. HIVI YULE TWIGA ALIRUDI?
 
Daaa itakuwa vizuri akamalizia na lile jina alilosema akilitaja ktk kashfa ya RICHMOND inchi itayumba. ..

Wewe kweli ata ripoti ya richmond huijui,kwa kukusaidia alisema kama Lowassa anabisha basi anaomba mjadala urudishwe bungeni ili sasa kamati yake ielekeze yale ambayo iliyoyaacha kwa kumfichia aibu kwa heshima yake kama Kiongozi Mwandamizi wa seeikali, mnapoenda shule mkajifunze sio mnarudi nyumban na ata kusoma na kuelewa hamuwezi.
 
ktk siasa siku moja ni sawa na saa. Yaan kubadili umma na kukuamini, ndo kitu wanachoenda kufanya CCM dhidi ya UKAWA.
 
32 giants against one individual!!!!, this shows how threat EL is. By the way Lowassa alipoamua kuhama ccm alijua kuwa anaenda kupambambana na chama, kwa hiyo kuundwa kwa hiyo kamati sio kitu kitakachomuumiza. EL anawajua hao wote na anajua kila mtu atakachoongea against yeye na hili liko wazi hata asiye mwanasiasa za maji taka analijua. Nilifikiri itaundwa kamati ya wajumbe 1,000,000 ikihusisha na wenyeviti wa mitaa maana ndio wanaoaminika huku mitaani.
 
Back
Top Bottom