daah,man kwani phone yangu inanizingua yaan nikicomment halafu nikibonye back post inajiandika kama vile mimi ndiyo nimeituma sorry kwan imetokea kwenye post yako
Ilikuwa ni siku ambayo boss anasafiri kwa ndege asubuhi anajiandaa kuondoka ndipo alipewa taarifa na mlinzi wake kuwa usiku ameota ndege atakaepanda boss imeanguka na hakuna aliyepona ndipo boss akaamua kusitisha safari kweli baada ya muda taarifa kuhusu hiyo ndege kuwa imeanguka zinatangazwa...
Ilikuwa ni chemsha bongo. Kwamba umepewa vitu vitatu ambavyo ni simba, nyasi au majani na mbuzi .sasa uvivushe mto kimoja baada ya kingine usivushe zaidi ya kimoja na uhakikishe vinafika salama vyote so kumbuka ukivusha simba ukaacha mbuzi na majani ina maana mbuzi atakula majani na kama...
First time nafanya sex nilikuwa na 21 yrs lakini cha ajabu imekua karaha na sio raha tena maana kila ninapo sex na wasichana wamekuwa wakizimia na nimekamatwa na polisi mara 3 mara ya 3 ilikuwa 28-8-2011 polisi Kigamboni.
Msichana wa kwanza first aid hakuzinduka mpaka hospital na wapili...
Huyo jamaa aklri hana nakumbuka hata kipindi wana funzi wanagoma kuongezewa fedha ya kujikim alikuwa akipinga sana eti ooh wanataka anasa jamaa si mzima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.