Wanawake wapo wengi kuliko wanaume ndio maana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wapo wengi kuliko wanaume ndio maana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Adam waTZ, Jul 18, 2011.

 1. A

  Adam waTZ Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Takwimu zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani kote ndio maana wanaume wengine wanaoa wakee wengi na wengine wanaoa mmoja lakini nje pia wapo ili haki itendeke kwa wote, sasa kila mwanaume akiwa na mke mmoja na hawatoki nje inamaana wanawake wengine watakosa hata wakufanya nao mapenzi na huku wengine wakifurahia mapenzi je ni haki? Ndio maana ushindani kwa wanawake kuolewa unaongezeka siku hadi siku
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kumbe kuolewa ni ushindani? Wanawake kazi mnayo!

  Na walioolewa halafu wana ndoo na vidumu wanamaanisha nini? Kua wanaume wako wengi au?
   
 3. A

  Adam waTZ Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh hapo ndio utata
   
 4. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Heheheee! Kama ni hivyo wanaume ni noma maana pamoja na uchache wao 'wanawapitia' wanawake wote!
   
 5. m

  mwalimu_salum Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiofichika kwamba idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko ile ya wanaume,kutokana na jarida la Islamic Research Foundation(IRF) la India lililochapishwa mwaka 2009 lilieleza kwamba nchi ya India pekee ndo ilikua na idadi kubwa ya wanaume ukilinganisha na ya wanawake,nchi nyingi za ulaya na Marekani zilikua na idadi kubwa ya wanawake ikilinganishwa ya wanaume.
  Mimi naamin kabisa kwamba ni kwa sabab hii ya wingi wa wanawake ambapo Mungu akatoa ruhusa wanaume kuoa zaid ya mke 1,na vitab vitakatif vinaruhus wake zaid ya 1 ila kuna baadh ya viongoz wa dini wamekataza wafuas wao wasiwe na wake zaid ya 1.
  Swali kwa wazaz ni;
  una mtoto wa kike ambae amefikia umri wa kuolewa,je utamruhusu aolewe matara ili aepukane na uhuni au asiolewe kabisa ili akuletee wajukuu wasio na baba?

  Na kwa bahati mzuri nchi zinazofuata tamaduni za kuwa na wake zaid ya 1 ndo zinazoongoza kwa kutokua na maambukizi makubwa ya ugonjwa wa Ukimwi.

  Watu wanaoamini kile kinachoitwa HAKI ZA BINADAM wanadai kuwa na mke zaid za 1 ni kumnyima haki mwanamke,mda mwingine tunatakiwa kufanya kama madaktar ambao wanaukata mguu wa mtu mwenye kansa ili kumsaidia kuokoa uhai,kwa mfano huo kuoa wake wengi ni kuwaokoa na sio kuwatesa.
  Ila ifahamike pia kwamba sio kila aitwae mwanaume anaweza kuwa na wake wengi,ni wale tu wenye sifa za kuwahudumia ipasavyo.

  Vijana tujitokeze kuoa wake zaid ya 1 ili kuwasaidia dada zetu na sio kuishia kuwaita kwa majina yasiyopendeza kutokana na kukosa ndoa.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  duh kumbe kuolewa mitala unamwepusha binti na uhuni? Mie nilidhani uhuni tabia ya mtu! Halafu kumbe kuna baadhi ya viongozi wa dini wamewakataza kuoa mitala? Nilikua cjui ukioa zaid ya mke mmoja unawasaidia ambao hawajaolewa! Kha!
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu argument yako haina mshiko..., sababu Mungu anaweza yote asingeshindwa kusema kuwe na ratio ya kutosha ya wanaume na wanawake na sio kwamba baada ya kuona ratio haiko sawa ndio akaona solution ni kutoa ruhusa ya mwanaume kuoa wanawake wengi (from your argument since mwanaume anaweza kuoa hadi wake wanne, does it mean wanawake na wanaume ratio ni 1:4?)

  Mkuu sababu ya kuwa na wanawake wengi kushinda wanaume ni kwamba wanaume wanakufa zaidi wakati wa utoto (more prone to diseases) na life expectancy ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake.. kwahiyo kuna probability kubwa ya wewe kufa kabla ya mke wako
   
 8. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Umeongea point kaka kwenye birth hamna tatizo la wanawake kuwa wengi, ila sisi wanawake wengi tunaachwa wajane ndio maana takwimu zaonyesha tuko wengi. Lakini nina imani kwenye age ya kuoa na kuolewa hamna tatizo la wingi wa wanawake ila sema wanawake wengi ni selective ndio maana unakuta wanawake kumi wanabanana kwa mwanaume mmoja kisa ana pesa wakati kuna wanaume wanaokosa wenza pia.

  Kuhusu nchi fulani kuwa na ukimwi kuliko nchi nyingine hiyo si point. Ukimwi bado haujazitembelea hizo nchi kwani asojua nani kuwa nchi hizo zinaongoza kwa ushoga. Yale yale ya kuwacheka wahaya sasa hivi mbeya, iringa na dar watu wanaangamia.


   
 9. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuoa sio lazima, kuolewa sio lazima ... ni uamuzi wa mhusika. Na sio wote wataoa wala sio wote wataolewa, hivyo hizo takwimu za idadi ya wanawake na wanaume hazina mashiko.

  Kuhusu India, wanawake ndo walipaji mahari ... familia nyingi hazipendi kuwa na mtoto wakike kuepuka gharama za mahari, hivyo wakifanya uchunguzi wa ujauzito wakagundua ni mimba ya kike, wangi huwa wanaing'oa thats why inawezekana kuna wanaume wengi kuliko wanawake.

  Sasa tuseme Kwa India iruhusiwa mwanamke mmoja kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja kwasababu inasemekana kuoa na kuolewa ni haki ya kila mmoja?
   
Loading...