Recent content by Actions Speak Louder

  1. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo mwanaume unatakiwa uvijue kabla havijakuua

    Upo sahihi kwa 100% The red emeer
  2. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Bendera mpya ya Syria yapandishwa Leo katika ubalozi wa nchi hiyo Mjini Moscow Urusi

    Umeongea point. Hata mimi nahisi kitu cha aina hiyo kitakuwa kimefanyika (A Back Channel)
  3. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakosa connection kwa kuomba omba hela

    HHAHAHAHA unapotosha ukiwa omba omba connection unakosa maana ni ngumu mtu mwenye akili timamu mwenye connection zake akubali kukukonekti na watu wa maana kwa maana utamwaibisha.
  4. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

    Upo sahihi majibu yao ndo hivyo hivyo yaani OMBA OMBA wanakera sana, mimi siku na wakazia.
  5. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Wanaume jiandaeni kupokea maisha baada ya kustaafu

    Hizi operation za uzeeni wakati mwingine sio nzuri hata kidogo. Mfano kwetu bibi yangu alikuwa na miaka ya 75 macho yakawa yanamsumbua akafanyiwa operation jicho moja, ikawa ndo basi, halioni tena, ila lile jicho lingine ambalo ambalo halikufanyiwa Operation ndo linamsaidia.
  6. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Wanaume jiandaeni kupokea maisha baada ya kustaafu

    Umenena jambo zuri kuhusu kutengeneza bond na watoto
  7. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1

    Jamani muacheni mama ajenge uchumi, pia tumuombee Mungu azidi kumlinda na kumuongoza vema.
  8. Actions Speak Louder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda

    Ila nalo neno tena upendo wa mama yako ni mzuri sana na hauna unafiki kama wa hawa wengine
  9. Actions Speak Louder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda

    Nakubali mkuu
  10. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Pole sana kijana, kesho hakuna atakaye andamana.
  11. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

    Ushindi wa ccm ni halali, Ukikosa hoja bwana, una anza kuleta visababu CCM OYEEEEE!
  12. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

    Mbowe apumzike kwa amani
  13. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

    Hongera sana Dr. Tulia Ackson maana walikutukana hao wapinzani hasa wale wa vidole kama vya manati lakini Mungu mkubwa amekupigania. CCM Oyeeeee
  14. Actions Speak Louder

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    utabaki hivyo hivyo kuota ndoto ambazo hazipo
  15. Actions Speak Louder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gari ilivunja mahusiano yangu na huyu binti

    mtoto wa mtu unakuta nyumbani kashazoea gari alafu wewe uunamtesa kwa madaladala, lazima wenye magari wakusaidie
Back
Top Bottom