Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda

Pesa haina domo zege. Jaliwa kuongea sana bila pesa utakuwa mpiga kelele tu. Mademu wazuri utaishia kuwapa story lakini wataliwa na wengine.
Kama haujui ku soundisha utaishia kuwapata wanawake wenye njaa au shida za kifedha mwanamke yeyote ile hua anapenda kupigushwa sound kama ni soundless utaishia kununua wanawake tuu
 
Let us agree not to agree.
 
Hizo dalili zipo nyingi sana, tunaweza kuziandika hata kwenye counter book 10 na bado tusizimalize, zingine sio za kweli wakati mwingine tunawaonea tu hawa wanawake.

Dalili nyingine zinakwenda na wakati, mfano usichukulie kuwa mwanamke asipokujibu meseji zako eti hakupendi, ukweli ni mdogo sana kwenye dalili kama hii. Mimi nimewahi kuwa na mwanamke ambaye kujibu meseji kwake ilikuwa kama kituo cha Polisi, ni kitu ambacho automatically hapendi hata kuchat nae ilikuwa ni kidogo sana na si kwamba alikuwa hanipendi, alikufa, akaoza juu yangu.

Mwisho; mwanaume ukifuata na kuziamini sana hizo dalili kwa dunia ya leo, kamwe hutakuja kuishi, wala kudumu na mwanamke yoyote. Naamini dalili kubwa ya mwanamke ni kuwa hatabiriki, leo atakununia, kesho atakuchekea, leo atakuacha kwa sababu umefulia, kesho atarudi na magoti analia hata mvua kuna wakati mawingu yanaonesha inataka kunyesha, lakini hainyeshi.
 
Dalili nyingine zinakwenda na wakati, mfano usichukulie kuwa mwanamke asipokujibu meseji zako eti hakupendi, ukweli ni mdogo sana kwenye dalili kama hii. Mimi nimewahi kuwa na mwanamke ambaye kujibu meseji kwake ilikuwa kama kituo cha Polisi, ni kitu ambacho automatically hapendi hata kuchat nae ilikuwa ni kidogo sana na si kwamba alikuwa hapendi, alikufa, akaoza juu yangu.

Mwisho; mwanaume ukifuata na kuziamini sana hizo dalili kwa dunia ya leo, kamwe hutakuja kuishi, wala kudumu na mwanamke yoyote. Naamini dalili kubwa ya mwanamke ni kuwa hatabiriki, leo atakununia, kesho atakuchekea, leo atakuacha kwa sababu umefulia, kesho atarudi na magoti analia hata mvua kuna wakati mawingu yanaonesha inataka kunyesha, lakini hainyeshi.
Hapana kaka uwezi kusema anakupenda wakati anakuonyesha hakupendi unaona hata unapomwita mwenzako anachati na wengine mwanamke anayekupenda hawezi fanya tena sio wanaume wenzako anakupanga tu kumbe inaonyesha hakutaki
 
Nickson Swai kwa hiyo mwanamke ukiwa unachat nae mara kwa mara, ndio anakupenda sana?
Hapana lakini io inaonyesha na ukilazimisha sana utafurahi sasa mawasiliano mpaka ww umtafute aisee anajibu sms baada ya masaa 2 kumbe online anachati na wengine aaah aisee uvumilivu upo ila mbaya sana mtu akupotezee muda wako sababu hakujali ndio saiv wanadanganywa kila sehemu kumbe anayempenda naye anamzingua
 
Hizo dalili zipo nyingi sana, tunaweza kuziandika hata kwenye counter book 10 na bado tusizimalize, zingine sio za kweli wakati mwingine tunawaonea tu hawa wanawake.

Dalili nyingine zinakwenda na wakati, mfano usichukulie kuwa mwanamke asipokujibu meseji zako eti hakupendi, ukweli ni mdogo sana kwenye dalili kama hii. Mimi nimewahi kuwa na mwanamke ambaye kujibu meseji kwake ilikuwa kama kituo cha Polisi, ni kitu ambacho automatically hapendi hata kuchat nae ilikuwa ni kidogo sana na si kwamba alikuwa hanipendi, alikufa, akaoza juu yangu.

Mwisho; mwanaume ukifuata na kuziamini sana hizo dalili kwa dunia ya leo, kamwe hutakuja kuishi, wala kudumu na mwanamke yoyote. Naamini dalili kubwa ya mwanamke ni kuwa hatabiriki, leo atakununia, kesho atakuchekea, leo atakuacha kwa sababu umefulia, kesho atarudi na magoti analia hata mvua kuna wakati mawingu yanaonesha inataka kunyesha, lakini hainyeshi.
Well said mkuu
 
Usumbufu mi ndio huwa sipendi kabisa asehh yani mi namba 1 tu akiifanya nachanja mbuga natokomea kusikojulikana
 
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo

1.Anavunja appointment muda wowote

2.Hajali uepo wako

3.hakutafuti mpaka ww umtafute

4.Anacheka kwa dharau

5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake

6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia
Nakubali mkuu
 
Nadhani dalili zote ulizotaja, zinatosha kubebwa na dalili Moja tu namba 2 full stop.
 
Back
Top Bottom