Recent content by ackylyimo

  1. ackylyimo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mpenzi wangu kanichoka

    pole, kwani wanawake wameisha?
  2. ackylyimo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mpenzi wangu kanichoka

    pole
  3. ackylyimo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno la Leo - Kwa wanaodhani ndoa ni rahisi, si kweli

    hilo la mikosi nishalisikia sana, mi iman dhaifu
  4. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huu uzi hauishi?
  5. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Je wanadamu tuna FREE WILL??

    Thx
  6. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Je wanadamu tuna FREE WILL??

    Na mimi na shida na kuhesabu vizazi.. Mwenye kujua atufundishe jinsi ya Kuhesabu hivyo vizazi
  7. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

    Hapakuwa na neno lolote
  8. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

    Yes kilikuwepo
  9. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

    Ni dell, ila tatizo limeshatatuliwa
  10. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

    Ndio, nashukuru. Nilipeleka kwa fundi
  11. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Dar: Upepo mkubwa na mvua usiku - Machi 03, 2018

    Tegeta pia umevuma WA Kutosha Mvua inanyesha na Umeme umekatika
  12. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

    Hakuna maandishi yoyote, screen inakuwa nyeusi na app hazionekani hivyo nashindwa kufanya chochote
  13. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

    Mkuu picha nimetuma, unaweza nisaidia hapo
  14. ackylyimo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

    PC Yangu imeanza kizingua kuwaka tangu jana. Ukiiwasha inawaka Ila inakuwa Ya black na kuna kimstari kinablink nimejaribu option kadhaa Kama esc , Ctrl, alt na delete still imegoma. Nifanyaje ili ianze kufunction kama kawaida
Back
Top Bottom