Nimegundua mpenzi wangu kanichoka

Nimegundua mpenzi wangu kanichoka

Kuna nguvu ya kukaa kimya mkuu...kwanza relax usioneshe kama unastress onesha tabasamu ukutanapo maelezo Msalimie tu then pita, kata mawasiliano kote hata salamu usitume na status usiview yani mkatie mawasiliano....anza harakati za utafutaji trust me atakuja kukuona mbaya utakavyomtosa mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa Sana Mkuu
Ila Sasa Lazima Uwe Mwanaume!!!
 
Ndugu zangu wana JF naombeni ushauri, nahisi kuchanganyikiwa vituko na visa ninavyofanyiwa na mpenzi wangu. Imefika hatua nimegundua huyu Bi. Dada kanichoka ila yupo na mimi basi tu kwa heshima tu ya mzazi wangu tu na ndugu zangu kwa sababu tu wanamkubali.

Lakini ninachokiona nimechokwa kwani hatuna maelewano nimejaribu mbinu zote kujishusha kukubali yaishe lakini wapii

Naombeni ushauli wana JF uamuzi mzuli wa kuchukua
Achana nae! Huwezi jishusha uanaume wako kisa mwanamke. Dawa ya mwanamke ni mwanamke!
 
Sometime unakua na mwenza wa viwango vya ligi kuu wakati wewe ni ligi ya ndondo kwahiyo unahofia ukiachana naye utapata tabu sana kumpata mwingine wa levo ya ligi kuu.
Kwa hiyo una kuwa upo tayari kuendelea kuvumilia manyanyaso !!?- huko ni kutojiamini na ni sehemu ya utumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wana JF naombeni ushauri, nahisi kuchanganyikiwa vituko na visa ninavyofanyiwa na mpenzi wangu. Imefika hatua nimegundua huyu Bi. Dada kanichoka ila yupo na mimi basi tu kwa heshima tu ya mzazi wangu tu na ndugu zangu kwa sababu tu wanamkubali.

Lakini ninachokiona nimechokwa kwani hatuna maelewano nimejaribu mbinu zote kujishusha kukubali yaishe lakini wapii

Naombeni ushauli wana JF uamuzi mzuli wa kuchukua
Kuna mahali unakosea sana. Kama umejaribu mbinu zote.... Kuna ambazo hujafaulu vizuri kabisa. Rudia tena na tena kwa ufanisi wa hali ya juu. Mkune vizuri mkeo, msugue taratiiibu, msugue, msugue, msugue mpaka kiwake moto, msugue mpaka kipoe kabisa, hakikisha anafurahia mkiwa pamoja faragha. Mbembeleze kama mpenzi wako, rafiki yako. Mbebishe, Mkandekande, Mbembeleze, Mbusu, Mlambe, Mpapase, Mnyonye, Mkumbatie, Mpendezeshe, Mfariji, Mpende, Mheshimu, Mlinde, Jali hisia zake, Mtosheleze. Ni mwanamke wa aina gani anaweza kumchoka mwanamume wa aina hii????
 
Sawa.
Ila ndo ukweli huo performance ikiwa mbaya kitandani.mwanamke atakuona shoga akee..
Piga shoo za kibabe uheshimike

Sent using Jamii Forums mobile app
Eehe...!! Waulize vibenten shoo zimewafikisha wapi... yani mwanamke atakupendea show kama kuna mtu anatimiza majukumu yake akiwa na shida lakini kama mwanamke ana mahitaji yake na wewe ndo anategemea umtimizie alafu Huna kitu yani upo mbupuu tu... Hata hio show kuipata utaisikia kwenye bomba mzee...!! Show ina maana kama anapata mahitaji yake vizuri otherwise nasema hata upige show mpaka ufie kifuani wewe ni takataka tu kwake.


Ndo maana mke wamtu akimuacha mumewe akaenda kwa jamaa ambae anampa dudu tu nasema atarudi kwa mumewe analiaa kilio cha mbwa mwiziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Imeishaa hiyooo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wana JF naombeni ushauri, nahisi kuchanganyikiwa vituko na visa ninavyofanyiwa na mpenzi wangu. Imefika hatua nimegundua huyu Bi. Dada kanichoka ila yupo na mimi basi tu kwa heshima tu ya mzazi wangu tu na ndugu zangu kwa sababu tu wanamkubali.

Lakini ninachokiona nimechokwa kwani hatuna maelewano nimejaribu mbinu zote kujishusha kukubali yaishe lakini wapii

Naombeni ushauli wana JF uamuzi mzuli wa kuchukua
Mwanamke akikuchoka hapana rangi utakosa ona... kwanza akikuona anapata hasira hapo huenda kuna mtu ndiye anamuona wa maana kila mara anakucompare naye
 
Mkuu umezingua Sana"
Mwanamke kazingua unaacha unatafta mwingine mkali uyo sio mamaako, Sasa wewe endelea kulia lia apo.
 
Back
Top Bottom