the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,774
- 3,369
Huyu Dada ninampenda sana nimemfanyia mambo mengi mazuli kila nikifikiria kumuacha naona roho inaniumaaMtu kakuchoka na umejihakikishia hilo, si uachane nae utafute mwingine.... Au unaishi kwake so huna pa kwenda
Ushauri ni kuwa Kama hakupendi heshimu maamuzi yake hata yeye anayohaki ya kuchagua anachokipenda we na ndugu zako msiupangie moyo wa mtu
Sent using Gun Trigger
Sasa kumbe una udhaifu ndo mana unaonewa,kabla ya kufika huku pambana Kwanza na nafsi yako jikubaliii halafu tembea,kitu kingine ninachotaka kukuasa ni kuwa unampomsaidia binadam kwa kutegemea yeye akulipe mazuri,basi utambulia matatizo,kabidhi kila Jema lako kwa muumba yeye ndo mlipaji wa matendo mazur na mabaya..Huyu Dada ninampenda sana nimemfanyia mambo mengi mazuli kila nikifikiria kumuacha naona roho inaniumaa
Nafikiria jinsi gani nitaanza roho inaniuma lakini kweliiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Dada ninampenda sana nimemfanyia mambo mengi mazuli kila nikifikiria kumuacha naona roho inaniumaa
Nafikiria jinsi gani nitaanza roho inaniuma lakini kweliiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaHuyu Dada ninampenda sana nimemfanyia mambo mengi mazuli kila nikifikiria kumuacha naona roho inaniumaa
Nafikiria jinsi gani nitaanza roho inaniuma lakini kweliiii
Sent using Jamii Forums mobile app