Nimeipenda thread yako kifungu kilichoanza Embu Leo hii.....,
Nami nadhani hayo yanastahili kutendwa na kufanyiwa kazi na yanatokea kwa jinsi zote na Ndio mtizamo wa vijana wengi na tusipokuwa makini tunaweza kuanguka pabaya zaidi.
Pitia website ya nacte majibu yote yako hapo
Hizo Ni credit za O Au A level? Masomo mengine je? Je kozi ngapi ipi diploma Au cheti? Maswali Ni mengi kwakua hujaweka Sawa maelezo yako
Mtanzamo mzuri sana kwa kipindi huko ukweli na uwazi utasaidia sana kumuepusha na mengi.
Mimba na maradhi ya ngono zembe zinaepukika kwa mafunzo.
Ikibidi amtambulishe kabisa na awe muaminifu na watumie condom Muda wote Kama washaanza kufanya mapenzi na Kama bado pia akumbuke condom Muda wote
Kumbukeni dini Ni Imani na amini unalolitaka na kila mtu Ana hisia zake Mahali pake kila mtu yuko huru kufanya analotakata angalizo sio kila mahali Ni pa dini Au kuhuburi Au kukashifu dini ya mwenzio.
Wengine hawahitaji hata kuamini hizo dini zilizopo duniani.
Kila huduma Ina Mahali pake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.