Tanzania imeshakua ya watu wachache kwan wanaamua wakitakacho. Wananchi wajue kwamba kama bunge halitaoneshwa live ujue kuna ajenda mbaya za kuwafcha wananchi il waendelee kutunyonya. 2015 ccm tusiwape nafas kwan wametunyonya vyakutosha.
Kiukweli acheni kuwatupia lawama wabunge wa upinzan kwan wao wanajua wanachokfanya ndo maana hawatak kuburuzwa na kuwa kama upepo. Msema kwel hapendwi ndo kinachotekea katk bunge letu la awamu hi, kwan chama tawala wakiambiwa ukwel wanaona kama wametukanwa. Ubunge wa upnzan kazen buti mpaka...
Huyo bibi ndo mwnye kijiji kwan anasadikiwa ana umri wa miaka 116, pia haon. Kukumbuka kwamba mwanzo wanagundua ges wazungu waliingia kiholela bla kubsha hod hatmimae machne zao zlishndwa kutoboa hata punje ya mchanga. Ndo wakaambia kla sehemu kuna mira na destur hivyo kuna mwenye kjij ndo...
Dat is ua opinion bt reality it remain as usual. Marcus Garvey in the struggle to liberate black p'ple in america said 'It is better to die free than to live as a slave'. Xo rev never come as a dream must fight perpindicular.
Mwanaharakati Marcus Garvey ktk harakati za kuikomboa watu weus huko marekani alisema "ni bora kufa ukiwa huru kuliko kuish kama mtumwa". Xo harakat za ukomboz huwez kufanikiwa wakat unakata nyanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.