Watanzania tuamke tushachoka

Watanzania tuamke tushachoka

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Kwa kweli huku wanakotaka kutupeleka hawa viongizi siyo kodi tulipe sisi alafu atokee mtu mmoja anadai eti bunge alitaonyeshwa hewani eti kisa wabunge kukiuka kanuni hivi kama mtu amekiuka kanuni nawakati kuna kamati za bunge inakuwaje taarifa tu inakuja kuwa bunge halita kuwa hewani hakuna kitu kama hicho hawa ccm ndiyo watasababisha vita katika hii nchi makinda kachemka alafu kidogo taarifa kwamba bunge halitakuwa hewani au huko bungeni wanaenda kuongelea mambo ya familia zao nini tu jue moja
 
Tanzania imeshakua ya watu wachache kwan wanaamua wakitakacho. Wananchi wajue kwamba kama bunge halitaoneshwa live ujue kuna ajenda mbaya za kuwafcha wananchi il waendelee kutunyonya. 2015 ccm tusiwape nafas kwan wametunyonya vyakutosha.
 
hizo ni mbinu za kipumbavu ili wazime hoja za wapinzani kimya kimya
 
Mwaka wa kufa ngedere! miti yote hutereza. Nionacho mimi ni kwamba kila jitihada ya CHACHAMA kuokoa jahazi ndio kwanza zinazidi kulizamisha. Fainali 2015.
 
Back
Top Bottom