Mwanaharakati wa Gesi Mtwara afariki Dunia!

Mwanaharakati wa Gesi Mtwara afariki Dunia!

Mbona wanaochangisha ni wanaCUF kwa hiyo kupinga kusafirisha gesi Dar imekaa kichama ama imekaa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa kusini kujikomboa katika ufukara kwa kuanzaisha miradi mabli mbali mikoani mwao

mkutano uliandaliwa na Cuf.
 
Acha ukupe wewe, katika mapambano yoyote ya haki, inafahamika kuwa kuna watu lazima watapoteza maisha. Kwa vile kufa ni lazima hakuna kuogopa katika hilo, yeye ametangulia wewe na mimi tuko nyuma yake. Walikufa wakati wa vita ya majimaji na ya uganda haitakuwa ajabu kufa kwa akili ya gesi
kazi kwa familia nilisema haya mambo mtu awe makin na aangalie maisha yake .ges ges
 
Hivi kila mkoa ukisema sisi hapa hakitoki kitu tutaishi hapa kweli?!!
 
So why CUF na sio wanaMtwara na Lindi bila kujali itikadi za vyama kama kweli wanapigania maslahi ya watu wote

bwana we usiturudishe nyuma,wameandaa na watu tumehudhuria bila kujali itikadi ya vyama, dini wala kabila, hutaki unaaacha!
 
Duh I hear of that....bt time he was sick....RIP bro
 
RIP Kamanda....Siku si nyingi Kanumba atakukuta...please mnyime ushirikiano kabisa
 
Kina mandela wangeangalia maisha yao wa south wasingekuwa pale, nyerere angeangalia maisha yake usingekuwa hapo. kwa staili hiyo naweza kuja kumchukua mkeo mbele yako na wewe ukachunga maisha yako
Kama si kuogopa Wabeijing kunijia juu ningesema huyu mtu ana
akili za kike maana yuko tayari kufa kwa kipindupindu yaani mchafu
kuliko kufa kwenye mapambano yaani shujaa.
 
Mwanaharakati Marcus Garvey ktk harakati za kuikomboa watu weus huko marekani alisema "ni bora kufa ukiwa huru kuliko kuish kama mtumwa". Xo harakat za ukomboz huwez kufanikiwa wakat unakata nyanya.
 
Mwanaharakati Marcus Garvey ktk harakati za kuikomboa watu weus huko marekani alisema "ni bora kufa ukiwa huru kuliko kuish kama mtumwa". Xo harakat za ukomboz huwez kufanikiwa wakat unakata nyanya.

Teh teh teh
 
Ni Mohamed "Nantande" bwan wewe! Mboni watwaribia jinaaa!!??? Bha!
 
Jamani mbona tulishasema gesi kwanza vyama baadae!? halafu ingekua vizuri kama kilachama kikitaka kufanya chochote kuhusu gesi wawataarifu vyama vingine! Kama ndio hivyo mbona CCM itapiga bao la kisigino?
 
Uharakati wa kipuuzi umegharimu maisha yake na ndo full stop hatakumbukwa popote.
 
Back
Top Bottom