Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,738
- 42,830
poleni sana wafiwa...........mie sijaelewa.kuna uhusiano wowote kati ya kifo na harakati za kupinga gesi kwenda dsm?
usipende kutafuniwa kila kitu..
Soma vizuri kila kitu kipo clear hapo.
poleni sana wafiwa...........mie sijaelewa.kuna uhusiano wowote kati ya kifo na harakati za kupinga gesi kwenda dsm?
Kina mandela wangeangalia maisha yao wa south wasingekuwa pale, nyerere angeangalia maisha yake usingekuwa hapo. kwa staili hiyo naweza kuja kumchukua mkeo mbele yako na wewe ukachunga maisha yako
Utakufa tu na kipindupindu maana hufai kwenda JESHINI mtu kamaUharakati wa kipuuzi umegharimu maisha yake na ndo full stop hatakumbukwa popote.
Hivi kila mkoa ukisema sisi hapa hakitoki kitu tutaishi hapa kweli?!!
Poleni sana watu wa Shinyanga na Mara kwani madini yenu yalinufaisha watz wengi bila maandamano. Sasa kazi kwenu nchi inapotaka gesi iwanufaishe watz wote. Nadhani na ugunduzi wa mafuta ndiyo umeifanya Zenji kuwa 'nchi'. Mbele ni kiza kwa tz.Hili n swali la msingi la kujiuliza
Uharakati wa kipuuzi umegharimu maisha yake na ndo full stop hatakumbukwa popote.
Mazingira ya ajali yalikuwaje? Ajali inaweza kutengenezwa
Poleni sana watu wa Shinyanga na Mara kwani madini yenu yalinufaisha watz wengi bila maandamano. Sasa kazi kwenu nchi inapotaka gesi iwanufaishe watz wote. Nadhani na ugunduzi wa mafuta ndiyo umeifanya Zenji kuwa 'nchi'. Mbele ni kiza kwa tz.
Kwani huyu jamaa ni yule kibaka wa simu a.k.a masalia?
Ww ndo mpuuzi!na umuombe mungu akusaidie
kazi kwa familia nilisema haya mambo mtu awe makin na aangalie maisha yake .ges ges
sizinga where is my brother the big show ???????????i need him right now
Sizinga where is my brother THE BIG SHOW ???????????i need him right now