Recent content by Achimwene-Masasi

  1. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Timu ya wananchi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA WIMBO WA HAMZA KALALA TUFURAHI NA MWAKA MPYA

    Ndio mkuu.. Nataka nicheze na akili ya waifu kidizain fulani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA WIMBO WA HAMZA KALALA TUFURAHI NA MWAKA MPYA

    Habarini wana JF, natafuta ule wimbo maarufu katika kipindi Hiki cha Christmas na mwakampya (tufurahi na mwakampya) by Hamza Kalala,..happy new year Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Fahamu alipo malaika aliyepewa jukumu la kulinda bustani ya Edeni

    hebu tuambie wewe
  5. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    some vizuri nilichokiandika mkuu
  6. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kulazimisha abiria wa pikipiki wavae helmet ni hatari sana kwa Afya

    Nina mashaka hata hepatitis Unaweza kupata mkuu
  7. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

    "DHAMBI" Ni kukiuka maagizo ya mwenyezi mungu,kwenda kinyume na sheria za mwenyezi mungu,kufanya mambo ambayo Ni chukizo mbele za mungu.hapo mwanzo hakukuwako na dhambi, Before human creation dunia ilikua inakaliwa na viumbe wanaitwa majini,majini wameumbwa na mwenyezi mungu na wapo wema na...
  8. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Wameshaingia vijijini kwa ajili ya X-mass

    mjukuu ndo kafanana na bibi ake
  9. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya Airbus A220-300 Kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar, jumapili

    Mimi mwananchi wa kawaida Bado naumia na nauli za KAKA SUMA..SHIKAMOO KAKA SUMATRA
  10. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Alikiba na kundi lako ni heri muimbe Kaswida tu

    mawingu wanajaribu Sana kuwapigia debe lakini Wapi,,msuli tembo matokeo sungura [emoji36][emoji36]
  11. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Ghana wagundua dawa ya UKIMWI

    aaaghh wahuni msithubutu kuingia Kama Mpoto ,dawa zipo Ila wataziachia Mbali Sana.. hata Hapa bongo kuna mtu alijitokeza kwenye media fulani na akatangaza kwamba amegundua kirusi ambacho ukiki-inject mwilini basi kinakwenda kutafuna HIV zote,hivyo baada ya miezi kadhaa HIV kwishaa na alieleza...
  12. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    naweza kupata link ya kujiunga hilo group mkuu?
  13. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    hicho kibao kinaitwa "asali" ..artist Dr kareem
  14. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Rich Mavoko umeporomoka sana

    anaunga tela la Z.anto,MB dogg,Tunda man na wengineo ambao waliponyoka mikononi Mwa watu Kama Said Fella na Taletale na wakaishia kuwaimbia masela tu mitaani japokua Ni wasanii wazuri
  15. Achimwene-Masasi

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Majeshi Imara Afrika

    so nchi Kama Hiyo huwezi kusema ina jeshi imara coz Haina jeshi kabisaaa Labda tu political stability
Back
Top Bottom