Ghana wagundua dawa ya UKIMWI

Ghana wagundua dawa ya UKIMWI

Si tanzania pia ilishawai kupatikana dawa ya yake sijui iliishia wapi
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii kitu maana ni mara nyingi waafrica wamekuwa wakiitangazia dunia kugundua dawa ya ukimwi.1991 reserchers wa kikenya walidai kugundua dawa ya ukimwi KEMRON huku wakipata support ya Rais wao Moi aliyedai wagonjwa 50 wamepona . Walipiga sana pesa za watu ikaishia hewani.
Vile vile Mcongo na Mu Egypt walitangaza kugundua dawa wakaipa jina la madikteta wao (Mobutu-Mubarak 1) kifupi MM1 wakajipigia pesa lakini hakuna kitu.
2007 rais wa Gambia nae akadai kugundua dawa.
Mwaka 2002 tena mkuu wa majeshi wa nigeria akaitangazia dunia kwamba wanajeshi wake 30 wamepona ukimwi baada ya kutumia dawa iliyogunduliwa na dr mmoja aliyeitwa Jeremiah Abalaka.Jamaa wakapiga pesa ndefu kabla ya serikali ya nigeria kuipigika marufuku.
Nasema nitakuwa wa mwisho kuamini maana waafrika katika kupiga hela huwa haangalii ..kwake dili ni dili .
Yahya Jameh alifungua clinic London. Alipoulizwa theory ya uponyaji wake na wazungu aligeuka mbogo.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii kitu maana ni mara nyingi waafrica wamekuwa wakiitangazia dunia kugundua dawa ya ukimwi.1991 reserchers wa kikenya walidai kugundua dawa ya ukimwi KEMRON huku wakipata support ya Rais wao Moi aliyedai wagonjwa 50 wamepona . Walipiga sana pesa za watu ikaishia hewani.
Vile vile Mcongo na Mu Egypt walitangaza kugundua dawa wakaipa jina la madikteta wao (Mobutu-Mubarak 1) kifupi MM1 wakajipigia pesa lakini hakuna kitu.
2007 rais wa Gambia nae akadai kugundua dawa.
Mwaka 2002 tena mkuu wa majeshi wa nigeria akaitangazia dunia kwamba wanajeshi wake 30 wamepona ukimwi baada ya kutumia dawa iliyogunduliwa na dr mmoja aliyeitwa Jeremiah Abalaka.Jamaa wakapiga pesa ndefu kabla ya serikali ya nigeria kuipigika marufuku.
Nasema nitakuwa wa mwisho kuamini maana waafrika katika kupiga hela huwa haangalii ..kwake dili ni dili .
Inawezekana kukawa na ukweli kuhusu ugunduzi wa hizi dawa zinazoweza kutibu ukimwi. Hata hivyo kikwazo kinaweza inuliwa hasa hasa na wale wale wanaosadikika kuutengeneza huu ugonjwa. Nia ya vikwazo ni ile ile ya kusudio lao la kuhakikisha waafrika wanapunguzwa kasi ya kuzaana au hata kuacha kuongezeka kabisa. Hujma ni simple tu. Maleria ni ugonjwa wenye tiba iliyokubalika na WHO ila pamoja na dawa kuwepo ndio ugonjwa unao ongoza kuua watu wengi hasa bara la Afrika. Basi kwa kigezo kama hichi dawa ya ukimwi inaweza kupingwa kwa sababu tu katika wagonjwa elfu waliotibiwa ni mia tano tu wamepona. Hivyo kuonekana kwamba haiponyeshi kwa asilimia mia na kujisahaulisha kwamba hata magonjwa mengine dawa haziwaponyishi waathirika wote kwa asilimia mia.
 
Hiyo si kweli. Tusisingizie watu. Ni kwamba hakuna taasisi ya nje wala mtu aliyepiga marufuku hizo Dawa zote, isipokuwa wagonjwa waliacha kwenda huko zilikogunduliwa baada ya waliozitumia kuendelea kupukutika. Hakuna taasisi ya nje iliyompiga marufuku babu wa loliondo ila ni wagonjwa waliacha kwenda. Issue ya maralia ni kwamba ilikuwepo kwenye nchi zote za joto, ila kwa lifestyle yetu sisi weusi jinsi tunavyoweka mazingira yetu imetushinda kuiondoa tusilaumu mtu. Nchi nyingi za joto nje ya africa zimeufutilia mbali ugonjwa wa maralia.
 
Nini kinapelekea kifo kwa mgonjwa anaemeza ARV kama inavotakiwa???
Kusema ukweli anaekunywa dawa ni sawa na mzima tu. kitaalamu wanasema immune system is already surpassed hivyo risk za cancer na kama ni mlevi na mla hovyo hypertension na kisukari. Lakini ni wachache.
 
Wazungu mwanzo walifikiri UKIMWI ni tatizo la Afrika, lilipowafikia ndipo waligundua kuwa dunia ni kijiji.

Dawa ikipatikana wataitangaza, kumtibu mgonjwa wa HIV kwa ARV za sasa zinagharimu kati ya £400-1000 kwa mwezi, kumbuka kuwa mtu huyu anaweza kuishi miaka 40 ijayo.

Mkuu, Sky Ukimwi ulianzia kujulikana na kushamiri nchini Marekani katika miaka ya 80, inasemwa kwamba Virusi vyake vilitengenezwa katika Maabara (invitro) kwa ajili ya "Biological warfare". Baada ya matengenezo ikafuata hatua ya majaribio, wakashauriana ili kupata njia ya majaribio na wakafikiana "kuwaambukiza" kwa njia ya siri mashoga katika magereza ikiwa ni (plot) mpango wa siri wa kuwafuta, kosa lao ni kwamba hawakujua ni muda gani virusi hivyo vingeweza kuishi mwilini kwa mtu, na hapo ndipo balaa lilipoanza, wale wafungwa walipoachwa huru baada ya kumaliza vifungo walianza kusambaza ugonjwa uraiani pasipokujua kwamba wameambukiza Virusi na ndiyo maana waathirika wa mwanzo kabisa wa HIV Marekani walikuwa ni MASHOGA kabla ya watu wengine. Baada ya Marekani ndipo virusi vikasambaa katika nchi za Ulaya na baadaye Asia na Afrika, hapa Bongo Ugonjwa uliingia katika 1984-85-86 hivi, kutoka nchi jirani.

Na mtu wa kwanza "kugundua" hivyo virusi inasemekana alikuwa ni mmoja wa waliovitengeneza huko Maabara, hivyo alikuwa anajua kila kitu ila aliitwa "mgunduzi" ili kuficha ukweli.

Na baadaye ilikuja kuwa mjadala mkubwa sana duniani wa juu ya Virusi vilianzia wapi?!, Waamerika wakasema vilinzia Afrika kutoka kwa nyani, na Waafrika wakasema vilianzia Amerika na vilitengenezwa katika maabara zao pia waathirika wa mwanzo walitoka huko Amerika.

Lakini ukafikia muafaka wa pamoja kwamba, tayari ugonjwa huo umeshakuwa ni "global issue" na tatizo kwetu sote basi kwa nini tugombane na tumsahau adui yetu??!!, ndipo kuanzia hapo juhudi za kutafuta chanjo na dawa zikaanza duniani kote hadi hii leo tunasikia Ghana "Imebreak through".

Tumuombe Mungu atusamehe na atuokoe katika hili janga baya kuwahi kutokea.

Leo hii Ebola imeshapata chanjo, ila AIDS ni balaa!!
 
Hizi dawa za kutibu maradhi yasababishwayo na AIDS zinagundulika kila wakati karibu kila nchi ila wazungu wakishasikia wanatuma watu wao kwa mgongo wa W.H.O na kuua mfumo mzima wa ugunduzi wakisema kuwa haukidhi vigezo/standards za shirika hilo la afya ulimwenguni.

Waliutengeneza UKIMWI wao eti ili upunguze kasi ya ongezeko la watu shambani kwao (AFRIKA) ingawa ulivuka mipaka ya bara hili pia.

Tanzania ilishawahi kugundua mpaka kinga ila yakaisha kimya kimya (nakumbuka baadhi ya askari polisi walipewa chanjo.........)

Israel mwaka huu pia waligundua ila nadhani hizo dawa wanazogundua wazungu zitawatibu wao tu na watazifanya ghali sana kwa anayezihitaji hasa kutoka Africa, Asia na some southern American countries.
They are making our world so hard everyday.

Ila tusubiri tuone....
Kabisa haiwezekani mzungu atengeneze ndege ipae halafu ashindwe kytengeneza dawa ya ukimwi.
 
aaaghh wahuni msithubutu kuingia Kama Mpoto ,dawa zipo Ila wataziachia Mbali Sana.. hata Hapa bongo kuna mtu alijitokeza kwenye media fulani na akatangaza kwamba amegundua kirusi ambacho ukiki-inject mwilini basi kinakwenda kutafuna HIV zote,hivyo baada ya miezi kadhaa HIV kwishaa na alieleza kwamba kuna ushahidi Kwa watu ambao walikua victim lakini wamepona kabisa baada ya kuwafanyia hyo procedure,,, Niliskia kwamba Yule bwana ameitwa na waziri wa wizara husks na mpaka Leo hajasikika tena na Sina uhakika Kama alifanikiwa kurudi hata nyumbani kuendelea na maisha yake na kazi yake au alipelekwa mabwapande na kukiona chamtemakuni
 
Kabisa haiwezekani mzungu atengeneze ndege ipae halafu ashindwe kytengeneza dawa ya ukimwi.

Tatizo la ukimwi ni kwamba Virusi vyake vinakula "white blood cells" halafu vyenyewe vinakaa badala ya hizo cells.

Mfano wake ni hivi:, ndani ya nyumba umeweka walinzi dhidi ya wahalifu wa kawaida,halafu wanakuja majambazi na silaha kali zaidi ya walinzi, wanaingia ndani wanaua walinzi wanapora mali, wanaweka makazi, wanazaliana na hatimaye wanatoka wote pamoja na watoto wao ambao tayari ni majambazi kwenda kufanya ujambazi katika nyumba zingine na hizo nyumba ndiyo "white cells". Sasa mchakato huo ni endelevu hadi white cells zote zitakapokwisha mwilini ambapo mwili unakuwa hauna ulinzi kabisa ukitambua kuwa "white cells" ndiyo walinzi wa mwili.

Juhudi ya kupata chanjo imekuwa ngumu sana sembuse tiba!! kwasababu chanjo inategemea kupatikana kwa "Antibodies" kutoka kwenye "whitecells" zenyewe ambazo ndizo tayari zinakuwa zimeuliwa na Virusi.

Huu ni ugonjwa ambao umewafanya wanasayansi (medical experts) wawe "vichaa" kwa sababu kila wanapotanzua tatizo moja hapohapo linajitokeza jingine gumu zaidi!! Wamekuwa baffled and weary for all this time with the all modern tools in hand.

Sasa anatokea mtu anagundua dawa,siyo chanjo!!, huyo atakuwa ni mtu aliyebariwa na Mungu tu,
na lazima atatunukiwa zawadi ya Nobel in medicine.
 
Shock and kill kwa sasa ndiyo tegemeo kubwa la western countries.
 
Shock and kill kwa sasa ndiyo tegemeo kubwa la western countries.

Ni ajabu sana juu ya Virusi wa AIDS, kila mara wanapogundua "unique behaviour" inayoonyeshwa na hao VIRUS na kuitafutia ufumbuzi baadaye itajitokeza behaviour nyingine wasiyoijua!!.

Je, Shock-kill strategy aitazaa matunda??, Mungu awasaidie.
 
Ilikuwapo moja iligunduliwa 2013, 2015 trial cohort walichomwa sindano. Sindano hii unachomwa ukiwa undecteble status . Inaenda kuua hidden virus kwenye T-cell.

Ilikwenda vizuri bwana, kutoka 2015 the cohort ilikuwa haitumii ARV, wanapimwa damu kila baada ya miezi sita. Walisubiri ifike 2020 kama wataishi miaka mitano bila ARV watangaze break through. Mwaka huu September wawili kati ya cohort virus vulirudi na walipimwa wanaoneka sperms zao zilikuwa na viral load kwa wingi sana na wamewaambukiza parner zao.

Sasa sijui hao partners watalipwa compassions , ukiwa na partner anaetumia ARV na yuko undecteble wanahakikisha huwezi kumuabukiza. Sasa hawa walioacha kutumia ARV kwasababu ya research.
 
Kama ni kweli itakua poa lakini moja ya tabia za DNA za HIV virus zinazo pelekea ugumu wa kupatikana tiba ni kuincorporate with host genome na kubadilika mara kwa mara maana kila kukicha several types za HIV viruses hugundulia
 
Back
Top Bottom