Wameshaingia vijijini kwa ajili ya X-mass

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
Hizi teknolojia kwa kweli zimekuja na mambo..nimeishia tu kucheka baada ya kuiona hii selfie wallah!
IMG-20181222-WA0026.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikukuu ya kusheherekea pamoja ni raha sana,hamjui tu
 
Sio X Mass ni Christmas. Mass maana yake ni IBADA hivyo X MASS NI IBADA YA X.
Xmas is a common abbreviation of the word Christmas. It is sometimes pronounced, but Xmas, and variants such as Xtemass, originated as handwriting abbreviations for the typical pronunciation. The "X" comes from the Greek letter Chi, which is the first letter of the Greek word Χριστός, which in English is "Christ
 
Kuna mtawa mmoja wa shirika la white fathers alitupa somo hilo
 
Kamwambie arudi akasome tena...pia ulitakiwa na wewe uchanganye na zako..
Mimi sio mfuasi wao. Walikuwa wanapita mashuleni kwenye joint mass. Si tukawa tunaenda kuangalia warembo
 
Next time usiparamie vitu usivyovijua,kukaa kimya nako inahesabiwa ni busara..
 
Lakini hiyo ni abbr common na sio formal abbr. Hivyo inaweza kuwa na maana yoyote ila.Halafu hao wazungu ndio wamiliki wake so usijifanye wewe unajua zaidi yao.
 
Back
Top Bottom