Recent content by Access_2_Knowledge

  1. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA, tunaomba matokeo halisi ya Urais kutoka majimboni vs Yaliyotangazwa na NEC

    :A S thumbs_up: Tunaomba kitufe cha LIKE!
  2. A

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Hii habari sio ya Makamba. Imetengenezwa na vijana wa buku 7.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana nimepoteza haki ya kupiga kura naombeni ushauri jamani

    Wa kusoma, fuata utaratibu alioutumia Madege.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa unawaka Hifadhi ya Mlima Meru

    " I am giving a huge hand to the MP # JoshuaNassari who is at moment in the mountain to get a better idea of devastation, consequences and taking lead how best and fast to control this regional crisis! It's not an easy task as blame is being shifted left and right constantly which slows down...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa unawaka Hifadhi ya Mlima Meru

    Naomba mwenye picha ya usiku huu tulinganishe na ile ya jana.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanaowasha full light barabarani usiku

    Baada ya kuchoka kuwaashiria madereva waondoe full light, sasa nawasha full ila naondoa full light linapokaribia gari ninalopishana nalo. Madereva karibu wote nao huondoa full light wakiona nimeondoa.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

    Magufuli lini ataenda Arusha? Nina shaka kama kweli atathubutu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    My favorite post this month.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Proposal: books review threads

    Jaribu kutafuta hapa: en.bookfi.org Ukikosa utujuze, itasaidia kujua hii website ina wingi wa vitabu kwa kiasi gani. Kuna group linalofanania. Linaweza kuanzishwa group la review za vitabu kama kupata sub-forum imekuwa ngumu. Uzuri wa group linaweza kuji-moderate.
  10. A

    JamiiForums Tanzania How to find a text book on internet?

    Kuna vitu vizuri kwenye Internet ambavyo mtu anaweza asivigundue maisha yake yote japo vipo. Kuna wakati naweza kuwa na title ya kitabu au CBT video nisiipate online. Halafu baada ya muda nagundua chanzo kipya na kupata nilichokuwa nakitafuta kwa miezi. Chanzo kipya cha vitabu nilichokibamba...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    Chief-Mkwawa, Hiyo current ya USB 3 itapitishwa 0.9A hata kama cable ni ya USB 2? Huku kujaa chaji mapema zaidi kuna madhara, labda kufupisha maisha ya battery?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Research: Piracy Increases Literacy and Access to Knowledge

    To update comments from FT.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Research: Piracy Increases Literacy and Access to Knowledge

    Comments from others: "...Books are expensive! Even for digital books with virtually no distribution costs books are expensive! Heck I've seen second hand and brand new paperback books cheaper than ebooks and this has got to stop! In addition to the above cost implications (the cost of books...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Research: Piracy Increases Literacy and Access to Knowledge

    New research published by the African Governance and Development Institute shows that piracy increases literacy and the spread of knowledge. The researchers warn against the adoption of strict anti-piracy policies, but note that not all copyright protection is bad. In Western...
Back
Top Bottom