Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

Shukrani zako mkuu. Much respect.

ila nayo ina madhara yake mfano unadownload movie na ucweb au torrent ukitoka ukaingia jf ile movie automatic itajipause hivyo haitaendelea kudownload hadi urudi.

hivyo inategemea na situation mwenyewe unataka iwe vp.
 
Ila binafsi napenda sana nikitoka kwenye application na kila ninachokifanya kistop
 
Ni kweli mkuu, lakini inawezekana kwa wanaotumia simu?

unapo mquote mtu tunatumia hizi tag

[quote=jina la mtu]maneno yako[/quote]

thread inapokuwa ndefu ukiclick reply futa maneno ya katikati uache tu maneno unayotaka. as long as quote ipo mwanzo na mwisho itatokea.

mimi natumia simu, version ya jf ya wapsite miaka yote hii na naedit kama kawaida.

mtu no 1 said:
kabira kabira kabira kabira kabira
ilitakiwa isomeke kabila

mtu no 2 said:
chitaki chitaki chitaki chitaki
ilitakiwa isomeke sitaki
 
unapo mquote mtu tunatumia hizi tag

thread inapokuwa ndefu ukiclick reply futa maneno ya katikati uache tu maneno unayotaka. as long as quote ipo mwanzo na mwisho itatokea.

La! Asante mkuu sikulifahamu hilo ubarikiwe sana!
 
Wakuu nimevunja kioo cha lumia 820 naweza kupata kwa bei gani na ni wapi?

Nipo Kibaigwa, Dodoma.
 
Ninachomaanisha kwanini simu quality kama Iphone 5s ina battery size ya 1500 Amh ambayo ni ndogo sana kwenye kukaa na chaji?

mkuu hilo swali la betri ya iphone kuwa na mah ndogo inategemeana na hardware na operating systerm simu inayotumia, hivyo betri consumption inaweza ikawa sawa tuu na simu yenye mah kubwa, ios ni very stable operating systerm pengine hata power consumption yake inaweza kuwa ndogo.hivyo manufacture lazima aavoid unnecessary cost ili apate profit. KIUFUPI APPLE WANATUMIA ADVANTAGE YA KUWA NA OPERATING SYSTERM BORA KUWA NA BETRY NDOGO NA PROCESSOR NDOGO NA RAM NDOGO KUPATA FAST OPERATING SYSTERM WAKATI ANDROID WAO ILI SIMU ISIWE NA SHIDA WANAHITAJI BIG PROCESSOR,BIG RAM AND MASSIVE BETTRY TO RUN THE ANDROID SMOOTH.
 
actual iphone haikai na chaji na hata ukitoa top 50 ya smartphone zinazokaa na chaji iphone haipo na pia ukaaji wake wa chaji sio mbaya tunaweza kuiita average.

na kuhusu processor iphone 5s ndio ina chip yenye speed zaidi kwa sasa (64 bit)
 
Mkuu mkwawa naomba unijulishe bei ya charger original ya nokia lumia 920...naomba unijulishe ikiwezekana unisaidie kuipata.
 
chief,hii opyion ya ku click mara 7 BUILD NUMBER ni kwa rooted phone au android yoyote inakubali? maana kwangu imegoma.
 
Naombeni mnisaidie app nzuri za kuangalia mpira kwenye android!
 
mkuu hilo swali la betri ya iphone kuwa na mah ndogo inategemeana na hardware na operating systerm simu inayotumia, hivyo betri consumption inaweza ikawa sawa tuu na simu yenye mah kubwa, ios ni very stable operating systerm pengine hata power consumption yake inaweza kuwa ndogo.hivyo manufacture lazima aavoid unnecessary cost ili apate profit. KIUFUPI APPLE WANATUMIA ADVANTAGE YA KUWA NA OPERATING SYSTERM BORA KUWA NA BETRY NDOGO NA PROCESSOR NDOGO NA RAM NDOGO KUPATA FAST OPERATING SYSTERM WAKATI ANDROID WAO ILI SIMU ISIWE NA SHIDA WANAHITAJI BIG PROCESSOR,BIG RAM AND MASSIVE BETTRY TO RUN THE ANDROID SMOOTH.

Kwahyo 1500 mah unaweza kukaa nayo kwa muda gani baada ya kucharge?? Ukiwa kama heavy user?
 
kwa mawakala husika zinapatikana, ila sina uhakika kama kuna mawakala wakubwa wa htc dar. pia unaweza google ukapata jina la battery halafu ukaitafuta kwenye maduka makubwa ya simu

Mkuu kwa hapo dar siwezi pata extended betri ya s4 zinazoanzia 3200mAh, 5200mAh, 5800mAh, 6200mAh na kama nikipata 7800mAh ndio kiu yangu.
 
CHAJA ZA SIMU
umeshawahi kutumia chaja moja ikawa inachaji simu upesi na nyengine ikawa inachaji kidogo dogo? hili tatizo linatokana na kuchajia chaja ambayo ina ampere ndogo. ampere ndio inayokujulisha kiasi gani cha umeme kinaingia kwenye battery na kifupi chake ni herufi A. nitajaribu kuzieka chaja na aina za simu

0.15A-feature phone
0.45A-usb2.0 charging
0.5A-smartphone ndogo
0.9A-usb3.0 charging
1A-smartphone kubwa
2A-tablets

hivyo inabidi kabla hujanunua chaja kwanza angalia battery yako inataka ampere ngapi halafu ununue na chaja ambayo ina ampere kama battery yako. pia unapotumia charger yenye ampere kubwa na voltage zile zile kama battery yako basi simu itajaa chaji mapema zaidi

Chief-Mkwawa,
Hiyo current ya USB 3 itapitishwa 0.9A hata kama cable ni ya USB 2?
Huku kujaa chaji mapema zaidi kuna madhara, labda kufupisha maisha ya battery?
 
Chief-Mkwawa,
Hiyo current ya USB 3 itapitishwa 0.9A hata kama cable ni ya USB 2?
Huku kujaa chaji mapema zaidi kuna madhara, labda kufupisha maisha ya battery?

cable inatakiwa iwe ya usb 3 na pia unatakiwa ueke driver za usb 3 ili uweze kuitumia technology hii,

kuhusu kuchaji haraka hakuna madhara kama kupo verified na oem/manufacture wa hiko kifaa. mfano simu zinazotumia chipset za qualcom zinachajika upesi sana kwa charger zake zinazotumia technology ya quickcharge. charger inatoa volt 9 na simu inajaa upesi. ila kama charger haipo verified ipo posibility ya battery kuharibika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom