Recent content by Access Denied

  1. Access Denied

    Nimemhudumia kwa zaidi ya 900k Guest, lakini kanipiga tukio

    Huyu usimuache kirahisi hivyo mpige nae tukio litakalomuacha mdomo wazi mpaka aje akulilie huku ukiwa na familia yako mpya.
  2. Access Denied

    USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

    Tatizo mhusika anataka kuendelea kuitumia taaluma yake ambayo serikali bado ndio humpa leseni annually sasa akijifanya mjanja wanaweza kumfungia pia na leseni yako akabaki na vyeti tu. Hela yenyewe ndogo inalipika 35M
  3. Access Denied

    USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

    Mkopo hua una bima hivyo bima hulipa ila katka situation za kufukuzwa kazi au kifo. Cha kufanya tengeneza mazingira ya kufukuzwa kazi tu hapo japo kwa hiyo hela 35M ni ndogo sana kukufanya ufukuzwe kazi atleast ingekua double ya hiyo. Nakushauri vumilia tu mkopo wako uishe kisha uje uvute...
  4. Access Denied

    Samsung TV vs LG TV ipi ni bora?

    Kwa uzoefu wangu tu chukua LG ya Korea. Mwaka 2014 nilichukua LG bila kujua brand ya South Africa aisee mwaka mmoja baadae iliungua kadi ikabidi nibadili miaka miwili mbele ikaungua zile LED strips nazo ikabidi nibadili. Matengenezo yako pia ni expensive kidogo. Mwaka 2019 niliamua kununua LG...
  5. Access Denied

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Mwenye ufahamu zaidi na uzoefu wa hawa Gofiber katika huduma zao tafadhali naomba anipe uzoefu nao
  6. Access Denied

    Kuhusu "Connect 16" na huduma yao ya satellite internet

    Nani ana uzoefu na hawa Gofiber nimekutana na bango lao kabla sijawatafuta nilitaka kujua kutoka kwa wadau humu
  7. Access Denied

    Professor J na Frank Majani wana beef zito

    Sasa yeye Majani hiyo beat alimpa Prof Jay au alimuazima? Msanii anaponunua/chukua beats na kuifanyia wimbo kwa kuingiza vocals na mambo mengine automatically inakua Mali yake Sasa iweje Majani the same beat akamuuzie mwingine? ??
  8. Access Denied

    Kwaheri Land Cruiser

    Unapandaje gari bila hata kulijua mkuu?
  9. Access Denied

    Filamu za uchochezi za kidini ZBC2

    Inatosha au niongeze
  10. Access Denied

    Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

    Uzi mtamu huu nahisi kabisa niko miaka ilee early 2000's
  11. Access Denied

    Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Hivi mwanaume unakuaje na mwanamke mmoja??? Huu ni uzembe wa hali ya juu sana. Pole sana kamanda ila ndio ujifunze hawa viumbe usipokua na hela watapigwa na wenye nazo lakini pia ukiwa na hela watapigwa na wasio na hela. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Access Denied

    Nimemkuta Kachora Tattoo sehem mbaya sana!!

    Alifanyiwa kama hivyo so usijiulize sana mkuu kama una lengo la kurasimisha awe mke endelea tu na mpango huo.
  13. Access Denied

    Wapi napata raba classic Original za dukani kabisa

    Dah mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu
Back
Top Bottom