Nimemkuta Kachora Tattoo sehem mbaya sana!!

Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Umeona sasa umuhimu wa ku shake before use
Ungenunua mbusi kwa gunia ww hakika ungejutaaa maisha yako yooooteee
Achana na huyo Muhun jombaa
 
Sema tu Haujajipanga kwa majukumu tatoo haiwezi kuwa sababu
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
 
Ata mungu akiiona hii comment yako ya kijinga atajua umeangamia kwa kukosa maarifa
Spiritually (kikristo) mtu anapochora tatoo anaingia kwenye covenant au agano ambalo linamfanya tabia na mwenendo wake ziendane agano aliloingia kwa kujua au kutokujua na ndiyo sababu mtu mwenye tatoo lazima atahakikisha inaonekana popote ilipo, hata mavazi yake atavaa yanayoonesha tatoo hata kama ipo kwenye t*ko.
Bahati mbaya wengi huchukulia kuwa ni kawaida hivyo hawachukua hatua ya kuombewa na kuvunja covenant. Ndiyo maana hata wanaokupa maoni wanakupa kwa kuchukulia kirahisi tu, jaribu kutafakari mtu ana ujasiri gani wa kutulia nankuchora tatoo karibu kabisa na sehemu za siri?

Sababu wewe ndo unamfahamu unaweza kuamua chochote ila una haki ya kufikiri mara mbili juu ya uhusiano wako haswaa mahusiano yenu na Mungu. Vinginevyo, utaikumbuka hii post.
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Yaani baada ya miez minne mkuu! Mpo kwenye mahusiano ya long distance nini? Au dhaifu!
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Alifanyiwa kama hivyo so usijiulize sana mkuu kama una lengo la kurasimisha awe mke endelea tu na mpango huo.
zarination-20181223-0001.jpeg
 
Demu ana:
1.Tatoo
2. Kiduku
3. Hereni puani,hereni mbili au tatu sikio moja (matundu mawili+ kwenye sikio moja)
4. Demu mvaa vikuku
5. Mpenda vigodoro/mpenda disko/club
6. Demu mpenda shopping 3/4 times within a month
7. Demu mpenda kampani za wanaume/mazoea ya kupiga soga na wanaume
Kama demu ana moja kati ya mambo tajwa hapo juu usioe,suuza rungu then washa TOYO...
 
Hamna mke hapo bali kuna malaya tu, demu kutokumkuta bikra sio ishu inaweza kuwa alidate Na watu hata 10 tofauti lakini alikua anajitambua sasa mpaka kuchorwa tattoo ni malaya tu alikua piga chini shwain huyo.
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Huyo haifai kimbia kama umeona simba
 
Achana naye haraka sana. Dalili ya mvua ni manyunyu.
Tattoo kwa mwanamke ni alama za kimalaya kimalaya. Kwani uhangaike kuoa mtu aliyepitia kwenye umalaya kama wewe hupendi malaya?

Wasichana warembo wazuri tena wabichi kabisa wapo wengi mtaani, tafuta mwingine uoe. Huyo wa sasa waachie wanaume wapenda malaya nao waoe.
 
Huyo usioe anakudanganya alichorwa na wachora tatoo
 
Achana naye haraka sana. Dalili ya mvua ni manyunyu.
Tattoo kwa mwanamke ni alama za kimalaya kimalaya. Kwani uhangaike kuoa mtu aliyepitia kwenye umalaya kama wewe hupendi malaya?

Wasichana warembo wazuri tena wabichi kabisa wapo wengi mtaani, tafuta mwingine uoe. Huyo wa sasa waachie wanaume wapenda malaya nao waoe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom