Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,653
Usalama wa taifa wako busy wanasikikiza maongezi ya Makamba Sr. na Kinana
yani binadamu sisi TBC wanamwonyesha mtukufu jiwe 24/7 haruoni ni shida ila vipindi vya dini ndo vinavyotukeraZBC Channels ni ujinga tupuuuu. Kutwa kucha ni vipindi vya Dini tu. Kweli Huko Zbar hawana haja ya mafundisho mengine zaidi ya Kulishwa Kuran 24/7.
Anyway kama Channel inakukera unaipiga block kwenye King'amuz chako isionekane baaasi maisha yanaenda.
Qur'an ina ubaya gani kuisikiliza 24/7 kama kweli u msikilizaji.ZBC Channels ni ujinga tupuuuu. Kutwa kucha ni vipindi vya Dini tu. Kweli Huko Zbar hawana haja ya mafundisho mengine zaidi ya Kulishwa Kuran 24/7.
Anyway kama Channel inakukera unaipiga block kwenye King'amuz chako isionekane baaasi maisha yanaenda.
Du mkuu swala la kufa unasema wamekaa kirojorojo. Mtu anaweza kufa hata kwa kukaa tuHivi wazanzibar sjui wakoje ..Kuna Uzi nlisoma eti mtu afariki kwa kuzama kwenye kisima, nliposoma nikajua ni Zanzibar wala sikuendelea...wamekaa kirojorojo
Makafiri banaZBC Channels ni ujinga tupuuuu. Kutwa kucha ni vipindi vya Dini tu. Kweli Huko Zbar hawana haja ya mafundisho mengine zaidi ya Kulishwa Kuran 24/7.
Anyway kama Channel inakukera unaipiga block kwenye King'amuz chako isionekane baaasi maisha yanaenda.
Na kinyume chake ni kweli,Hivi hizi nyuzi za kuchochea chuki dhidi waisilam mbona zina zidi kushika kasi? Amini usiamini kuna baadhi ya watu wana tamani kuufuta uislam tz hii Ila hawana uwezo tu.
Kama mitaa gani mzeeNeno,mkuu japo sijaangalia hy tv,baadhi ya mitaa pia mabanda video wanarusha baadhi ya mihadhara yenye maudhui ya kibaguzi na kujenga chuki.Tahadhari ni bora.Wahanga ni wazee vijana na wamama wasio na ajira rasmi.
Mungu hatofutwa ila habari zake nae zitakuwa zimefutwa,kwa sababu watu wengi unaoona wanamzungumzia Mungu basi wamekulia kwenye dini na ndiko walipomjulia Mungu huko kwa maana hiyo kama zikifutwa dini pia hizi habari za Mungu hazitosikika tena.Unamuamini Mungu au dini? Maana hata dini ikifutwa Mungu hawezi futwa
Nani kakudanganya!? ZBC2 ni kivuli tu lakini ni TV ya Azam media kwa ushirikiano na shirika la utangazaji Zanzibar japo vipindi na kilakitu vinakuwa programed pale Uhai studio (Azam tv) kwahiyo kila kinachoendelea kinatoka Azam tv.Zbc2 ni ya zanzibar ambayo 99.9 ni waislam kwani tatizo liko wapi?????
Wanafunika kombe, bado haisaidii.Sasa hivi ZBC wanaonyesha misa ya leo ya anglican.
Vipi hapo? Ni wadini
Kafiri #1 ni lile babu lililobaka kibinti cha miaka 6, nasikia mnaliita Mudy.Makafiri bana
Kafiri ni yule anaemuabudu mungu mtu na bibilia ikamdefine kuwa ni mwanaharamu.Kafiri #1 ni lile babu lililobaka kibinti cha miaka 6, nasikia mnaliita Mudy.
Huyu Mungu ambae hawezi kujipigania aliehalalisha mapigano na kuuwa ndio anaitwa Allah?we are raised to believe that, Paradise invites only those who are ready to die for their religion and die for their god. Have yu ever wondered, what type of god who can not fight for himself but sit and wait for his believers to fight for him??
In islam, fighting and even killing for the sake of Allah is the highest privilege given to man.
Unakataa jina la Kaafiri wakati Aliyekuumba ndio anakuita hivyo.Kafiri #1 ni lile babu lililobaka kibinti cha miaka 6, nasikia mnaliita Mudy.
Mkuu uchaguzi unakaribia,Hivi hizi nyuzi za kuchochea chuki dhidi waisilam mbona zina zidi kushika kasi? Amini usiamini kuna baadhi ya watu wana tamani kuufuta uislam tz hii Ila hawana uwezo tu.
Mkuu vijana wa buku 7 wapo kazini, hiki kipindi cha kuelekea uchaguzi ndio wakati wao wa kuanzisha kampeni za udini na ukabili ili waendelee kuwatawala vizuri.yani binadamu sisi TBC wanamwonyesha mtukufu jiwe 24/7 haruoni ni shida ila vipindi vya dini ndo vinavyotukera