Recent content by Abushehe Issa

  1. Abushehe Issa

    Car4Sale BMW Tsh.Mil 18.5

    Na Lushoto now days watu wako fresh kiuchumi ni jana tu nimetoka huko nikakuta watu wanatembelea Alteza, Mark X, Brevis etc nikashangaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  2. Abushehe Issa

    Mnada; Vitu vifuatavyo vinauzwa kwa bei poa

    Bei gani mkuu hiyo 32'?
  3. Abushehe Issa

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    ##Electrical,Electronic and Telecom Engineering, ##Mechanical Engineering ,.....Computer Engineering zote hizo ni hot cake kwa sasa hapa TZ hasa Telecom inalipa na akipata kazi mbona atasahau shida maana zina mishahara minono
  4. Abushehe Issa

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Mimi simshauri aende accountancy ina watu wengi mno
  5. Abushehe Issa

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Aachane na habari ya advance "kutoka Moshi kwenda Dar utapitia ya Segera Chalinze sio Arusha Babati Singida Dodoma then Chalinze ni ya mbali......mpeleke pale DIT akapige Diploma ya Mechanical,Electrical Engineering bàada ya miaka 3 ameshakuwa engineer
  6. Abushehe Issa

    Msaada: Ujuzi kuhusu namna ya kutambua laptop feki

    Ufeki wa laptop\Computer utautambua sehemu Tatu CPU,HDD na RAM hivyo ndo vya kuangalia wakati unanunua computer Kama ina window tayari yaani OS nasi click start kisha nenda run kisha andika "dxdiag" ita display features kuazia BIOS mpaka memory yaani RAM Hii inahitaji uwe na uwelewa kodogo...
  7. Abushehe Issa

    WanaJF ingilieni kati huu msala

    Aga kama umepata matatizo ya kifamilia na nenda Company B sign contract haraka kisha Fanya kulipa ile hela
  8. Abushehe Issa

    Bus zuri Dar to Arusha

    Kwa Hotel Usijidanganye na hiyo pesa labda ukalale Lexus pale Njiro ila kwa hotel waweza enda Joshmal ndo ni 50,per day
  9. Abushehe Issa

    Bus zuri Dar to Arusha

    Kidia Happy Nation Dar express Kakore Tahmeed, Kilimanjaro Express Chukua Tahmeed au ukichelewa chukua Kilimanjaro ila Tahmeed mimi nimesafiri nao kutoka Arusha to Dar wako vizuri ndani kuna mpaka choo cha dharura.
  10. Abushehe Issa

    Hii ni computer au mzimu

    Eleza tatizo lake ki unaga ubaga Humu ndani kuna IT, Engineer Telecom wote hao wajuzi
  11. Abushehe Issa

    Waziri January Makamba ajibu tuhuma dhidi yake

    Mungu kaskia kilio chetu wana-Bumbuli Kaja jimboni Bumbuli akaona asikanyage tope aruke hewani chopa na ushindi asilimia 80! na alipita!!!!! ama kweli sisi tulimpenda sana Chanyeghea.
Back
Top Bottom