Recent content by abui7

  1. abui7

    US imported terrorism in the Middle East

    Philippine President-elect Rodrigo Duterte [emoji767] Lean Daval Jr / Reuters Philippine President Rodrigo Duterte has accused the US of importing terror to the Middle East through its interventions, pointing to Iraq, Libya and Syria as examples.Speaking at an event being held in honor of the...
  2. abui7

    Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Lugha yoyote ya Muafrica ni inferior tutaijua wenyewe tu. Lakini kiukweli Magu anachemsha akizungumza kiswahili Hiyo PhD yake aliipatia kwa kusomea kwa kiswahili
  3. abui7

    Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Wacheni kutoka povu kwenye ukweli kama hajui lugha ya kimataifa umkubali hajui. Nchi ina lugha ni mbili kiswahili na kiingereza. Kiswahili kwetu na hiyo ya pili kiingereza. Eti PhD ameipata kwa kiswahili? Na hiyo PhD ni neno la kiingereza
  4. abui7

    Polisi Rwanda yaunga mkono agizo la kupigwa marufuku Vazi la Niqab

    Vazi la Niqab sio Vazi rasmi la Uislam asili ya Vazi hili ni Itikadi za kiarabu na ilianza hata kabla ya Mtume Mohammad S.A.W Na kutokana na hali ya sasa kiusalama ni bora na sawa kulizuia wengine wanalitumia vibaya.Tukumbuke hili Vazi limeanza kuwa maarufu hapa Afrika Mashariki mwishoni mwa 1980.
  5. abui7

    Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

    Dini zote zinamtafuta Mungu na dini zite makatazo yamefanana. Na kila dini ina njia zake za kumtafuta huyo Mungu. Kwa hiyo kila mmoja aheshimu imani ya mwenzake
  6. abui7

    Ushawishi wa kiarabu dhidi ya Israel wazidi kuporomoka

    Sijui watanzania wamefanywa kitu kibaya na waarabu. Ni povu tuu yaani watu wanahasira nao sana. Haya tusubiri ya Waisrael
  7. abui7

    Uongozi wa Rais Magufuli utapunguza sana misuguano ya kidini nchini

    Nilipojiunga JF nilitegemea kusoma posts zenye mafundisho na mahajiano ya maana. Lakini nimeshuhudia kuna udini wa kupindukia na wanao nyanyaswa zaidi kwa imani yao ni Waislamu. Maneno ya kejeli na manyanyaso ya kijinga kabisa. Mara waitwe magaidi, wajilipuaji,wa pendant pilau na ujinga ni...
  8. abui7

    Mashambulizi ya Kigaidi na tafsiri yangu

    Upendo upo ndani ya Uislam lakini sio Upendo mnaoutaka nyinyi. Upendo wenu ndio huo unaotupelekea kwenye Upendo wa jinsia moja. Wanadai "mungu" amefundisha. Ndio mnaozungumzia
  9. abui7

    Aliyemtapeli Imamu simu, kusomewa Dua Maalum

    Hakuna kitu kama hicho katika Uislam hivyo ni vitisho vya mashekhe uchwara. Wala hakuna eti dua ya kumuombea aliekuibia Mwenye kuhukumu ni Mwenyezi Mungu peke yake. Mwenyezi Mungu hamhukumu kwa dua anayosoma binadamu hapa duniani. Wanaotangaza mambo ya kusoma dua au albadiri ni vitisho vya...
  10. abui7

    Rais Magufuli awakilishwa tena na Balozi Mahiga ziara ya Netanyahu Uganda

    Bibi anadai anapigana na ugaidi lakini ukweli ni kuwa anapigana na wapigania uhuru wa ki Palestine. Uchukue ardhi za kwa kutumia mtutu kuharibu mashamba yao kuvunja nyumba zao kuharibu mashule na hospital. UN inasema anaekaliwa kwa mabavu katika ardhi ana haki ya kupigania kama Israel ilivyo...
  11. abui7

    Mashambulizi ya Kigaidi na tafsiri yangu

    Magaidi wanaua bila kutizama wewe ni dini gani. Kwa hali hii inaonekana wanaua zaidi Iraq Somalia Yemen Syria na Afghanistan ambapo kuna asilimia kubwa ya Waislamu
  12. abui7

    Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

    Mijitu blacks kweli ni kama nyumba chakula ya simba. Wanakufa na ufukara na njaa eti leo hii wanashabikia na luwalaani wengine. Maskini hawajijui hawajitambui Mijitu ipo ipo tu duniani. Wenzetu wanaishi maisha ya kiubinadamu sie tumebaki keleleeee tuuu. Asili yetu.
  13. abui7

    ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

    Wewe ni mpumbavu usie kuwa na akili hakuna Muislamu anaeshabikia kuuwauwa wakristo na pia katika quraan tukufu wakristo wanaitwa wakristo. Wale walioitwa makafir ni waarabu waliokuwa wanampinga Mtume kwa kuwaletea maneno ya Mwenyezi Mungu wa haki wakati wao wanataka miungu yao.Hao wanaojilipua...
  14. abui7

    Kenya Police Spokesman Thoroughly Humiliated In Nairobi Demo

    Ingekuwa ni TZ kungetokea mauaji yakutisha. Mungu inusuru Tanzania
  15. abui7

    Ni kweli Waislam wamekataliwa kutumia Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya Eid fitr baada ya kukubaliwa?

    Waliokataliwa ni wale ambao wanadai wanafuata taratibu za mwezi wa Saudi Arabia kwa hiyo serikali imeona itatokea mtafaruku kwa sababu Mufti Mkuu wa Tanzania atakuwa bado hajatangaza Idd na Waislamu wengine bado watakuwa kwenye mfungo kwa mantiki hiyo ni bora wasipewe kuzuia huo mtafaruku.
Back
Top Bottom