Recent content by ABLE04

  1. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Uzuri unaowatukana wamu humu kwaiyo Wala usijali ujumbe wako umefika.
  2. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ww jamaa utumishi hawajakosea kukupeleka Halmashauri.
  3. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Naona KIGO kwa mbaaaliii!!
  4. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Wanaume zikilizeni

    Mbususu nyingi hvyo ulie nn Sasa?
  5. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

    Huko si ndio mkuu wa wilaya anawaweka watu ndani wanaonunua ardhi huko??
  6. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson acha Kututafuta tunayemjua vyema Marehemu Lukuvi na Dhambi zake kisha tufunguke na mtuone Wabaya sawa?

    Au sio, tunaishia kuwaona kwny vioo! Unazani wote mabwiga humu.?
  7. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson acha Kututafuta tunayemjua vyema Marehemu Lukuvi na Dhambi zake kisha tufunguke na mtuone Wabaya sawa?

    Inashangaza kidogo,! huyu jamaa kila mtu maarufu anamjua na nijirani yake!
  8. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Ukiachana na mada, hivi kuwa hivi kama huyu dada ndio kuwa MZURI,? Maana kiukweli Huwa sielewi, wengi wanamsifia achana na uchakarikaji wake.
  9. ABLE04

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umeshapata kazi kwanza?
  10. ABLE04

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

    Hawa waliopo kwenye dini na jamii yote kwa ujumla ndio wapo humu.
  11. ABLE04

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Basi sawa mwambie apambane,!
  12. ABLE04

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hakuwahi kuripoti kabla maana hakujua kama utumishi walishampangia, alivyoambiwa hivyo ikabidi akapambane na LGA tu maana hamna namna😭
  13. ABLE04

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna mtu alikataliwa na taasisi ya elimu ya juu, alipata kazi ya kufundisha hapo walipoingiza taarifa zake aliambiwa ameshapangiwa tayari kazi na utumishi na Wala hakuwahi kuripoti huko🤣
  14. ABLE04

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama hiyo taasisi ni ya serikali itakuwa ngumu maana wakiingiza taarifa zako zitasoma ulipopangiwa kazi na utumishi.
Back
Top Bottom