RAFIKI ANAYEWEZA KUWA ADUI WA ELIMU YA MTOTO WAKO
Utangulizi
Mada hii inaangazia teknolojia na matumizi ya vifaa vya kielekroniki vinavyoweza kutumiwa na wanafunzi ama kufundishiwa au kujifunzia wao wenyewe. Teknolojia inazidi kuhitajika na kutumiwa angalau katika baadhi ya ngazi za kielimu...
madam mwajuma...
mtu anaeomba pesa kwa ajli ya shida kweli utamjua .....na anaeomba kukuchuna pia anajulikana maana ni kila siku na bado anaishi na wazazi
leo: naomba pesa ya saloon, kesho anaomba pesa ya kodi ya Nyumba, kesho kutwa anaomba pesa ya kitu gan sijui.....yaan kwa kifupi kila siku ya Juma nlikuwa nachunwa
[emoji16] [emoji27] [emoji26] . ukisema huna anasema humpendi ....miezi mitatu sijafanya kitu changu cha maana nikaamua kulivua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.