Kwanini uliachana na Ex wako? Tubadilishane uzoefu..

leo: naomba pesa ya saloon, kesho anaomba pesa ya kodi ya Nyumba, kesho kutwa anaomba pesa ya kitu gan sijui.....yaan kwa kifupi kila siku ya Juma nlikuwa nachunwa
. ukisema huna anasema humpendi ....miezi mitatu sijafanya kitu changu cha maana nikaamua kulivua Pendo. though i loved her
daaaaaaa tafuta ela
 
Hela wanazibadirisha majina hatareee
 
Back
Top Bottom