Kwanini uliachana na Ex wako? Tubadilishane uzoefu..

leo: naomba pesa ya saloon, kesho anaomba pesa ya kodi ya Nyumba, kesho kutwa anaomba pesa ya kitu gan sijui.....yaan kwa kifupi kila siku ya Juma nlikuwa nachunwa
. ukisema huna anasema humpendi ....miezi mitatu sijafanya kitu changu cha maana nikaamua kulivua Pendo. though i loved her

kwa hiyo ukata ulikuponza
 
madam mwajuma...
mtu anaeomba pesa kwa ajli ya shida kweli utamjua .....na anaeomba kukuchuna pia anajulikana maana ni kila siku na bado anaishi na wazazi

nifunsishe basi hizo mbini chache ulizoziona nami nitumie nianze kuomba aisee ntazeeka aiombi! viumbe wenyewe ninyi
 
yan sitaki kuamin kile kisanga!!

yule mtoto kanichubulia mpaka leo eti kisa niligoma kumpa kiss kwenye public area
 
Nilimwacha baada kuona kaandikiwa msg na njemba alafu Amekuwa na tabia kuificha cm yake nisione lolote
 
nilimpigia simu.. akawa hapokei, nkamtumia ndg yake akantolea nje.. akakausha siku 3.. bdae akantafuta.. nkamwambia omba bas msamaha.. akasema haon kosa, nkamwambia bas nmemsamehe.. akasema hatak nkamwambia so, hatuwez kuendelea? akasema bas bhana.. nkasema.... bas isiwe tabu mi nmeshindwa..
 
Mimi nlimwacha baada ya kuwa napiga chabo what'sap yake.Nilionganisha what'sapp yake na what'sapp web kwenye computer bila yeye kujua, nikagudua ni kahaba la kutupwa.
MkuuTafadhali maelezo namna ya kudoo hii kitu, nami nikamate Kahaba wangu.
 
Mkuu za ndani hazipo Active, hivi ni nn cha mhimu cha mhusika ; napaswa kuwa nacho au kufahamu ili niweke hiyo WhatsApp web mf, kwenye PC?
Fungua link kwa pc WhatsApp Web
d2efa93e43f0300a2f430a3b3f30ba12.jpg
ikifunguka hiv chukua cm ambayo unataka kuionganisha fungua what'sapp tafuta whasapp web fungua scan QR cod na camera yako unakua umemaliza kaz
 
leo: naomba pesa ya saloon, kesho anaomba pesa ya kodi ya Nyumba, kesho kutwa anaomba pesa ya kitu gan sijui.....yaan kwa kifupi kila siku ya Juma nlikuwa nachunwa
. ukisema huna anasema humpendi ....miezi mitatu sijafanya kitu changu cha maana nikaamua kulivua Pendo. though i loved her
Kaka Ndo hivo yani wanakera kwa week unakuta ushatumia 300,000 just anaomba tu na hapo hana kaz yoyote kamaliza chuo halaf anachagua kaz za kufanya kwenda mkoan hataki anataka kubak Darrrrr
 
Back
Top Bottom